REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,297
- 1,828
Habari wakuu, natumai mu wazima
rejea kichwa cha habari, nimeleta hii mada kwa kwakuwa kwa mtazamo wangu na upeo wangu niliwonao nimeona kuna mkanganyiko juu ya uumbaji wa dunia na namna watu wanavyovutana juu ya dini zao.
Wengine huuliza Mungu ni nani, wengine huuliza kwanini shetani, wengine huuliza Mungu ni nini, wengine hawaamini juu ya uwepo wake, wengine wanaamini, wengine wanatumia sayansi kumdisprove kwa logic, wengine husema logic kwake haitoshi bali imani tu and .....ok!
Katika mathematics kuna kitu kinaitwa co-ordinate geometry ambayo huwa na x and y-axis, horizontal and vertical axis, zote hizi zimekuwa integrated kwenye point 0 ama center of the starting point kwa hizo axis , ukitumia tu akili ndogo ya kwaida 0 ndio huzalisha 1, na pia huzalisha -1 , kwakifupi number inayowakilisha utupu ama "hakuna kitu"ama "nothing" ( 0 ) ndio peke yake hutoa au kuwa chanzo cha mwanzo wa hasi na chanya, pasipo chenyewe kuanzishwa na chochote zaidi ya utupu wake halisi yani unknown cause that exists from an unknown source which technically means "nothing created something but in two aspects positive manner and negative manner.
Hizo number wanasema ni infinity ila mimi najua infinity ni number 9 na hizo zingine hujirudia tu, ukichukua table ya tisa
9*1=9
9*2=18, 1+8=9
9*3=27, 2+7=9
N.k yaani table yote italeta 9 hata ukizidisha na decimals, kingine vidole vyako vipo 10 lakini unahesabu kuanzia 0-9, number za simu zipo kumi ila ni kuanzia 0-9, hapa najaribu kukuonesha tu kuhusu my opinion on infinity wise.
Besides 0 on both sides, there is 1 and -1, good and evil, male and female, hot and cold and so much more nikimaanisha evil imetoka from source ya 0 ambayo ni unknown kama ilivyo good pia.
Jaribu kuangalia unapoiacha 0 kuelekea upande wa joto kunasehemu ukifika either utaungua ama kufa kabisa, vilevile unapoiacha zero pia kuelekea kwenye baridi kunasehemu utaganda na kufa kabisa, ndio maana sisi tuna temperature between 0-100 na sio -1 to -100, number ya temperature yetu ndio level yetu ya uumbaji from dunia , malaika, maji and etc mpaka kufikia sisi na upande wa pili ndo jehenum, moto, ibilisi, majini kuendelea huko, lakini 0 inajitegemea na haiwezi kujulikana kamwe wala kufananishwa na hizo number zingine maana ndo kianzilshi na peke yake ndo kikamilifu , hata umbo la duara maana yake haijulikani starting point na ending point inachojulikana ni utazunguka hilo duara milele kwa sababu halina mwanzo wala mwisho.
Sio mwandishi mzuri sana ila natumai umepata nilichokusudia kuleta mezani.
Asante.