Gobless Lema umetukosea sana, lakini tutakusamehe

Gobless Lema umetukosea sana, lakini tutakusamehe

Yaan mmeumia sana kumkosa Lema, mlitaka kumfanya nini? Acheni roho mbaya nyie ccm!
Kivipi? Si alisema haogopi tena vitisho? Na sisi ndugu zake wa karibu tukimbilie wapi?
 
Acha ufala wewe mbung'o. Atishwe yeye halafu aondoke na wewe shangazi yake? Una akili timamu kweli? Kwani na wewe umetishwa? Maccm mna laana sana nyie. Kama unaona amekuzidi kukimbilia kaskazini, wewe zama kusini, mjinga mkubwa wewe.
Ina maana na wale watoto nao wametishwa?
 
Yangemkuta akiwa nyumbani mngemsema Kiburi kwa kunukuu kauli zake za kishujaa. Sasa ameondoka imekuwa nongwa.
Even braves die once. Tujifu ze kubeshimiana.
Yeye mwenyewe alisema haogopi binadamu bali Mungu, ila cha kushangaza amemuogopa binadamu na sio Mungu
 
wakati jiwe anatangaza kuwa atahakikisha kuwa upinzani unafutika kabla ya 2020 mlishangilia. Sasa wapinzani wanawaachia nchi yenu kwa kukimbia tena mnaanza kulialia. Msaidieni jiwe kujibu alikopeleka euro 27,000 za mabeberu
 
Yaonekana hili limekugusa sana. Kwani ulipewa tenda ya kumuua sasa kakimbia na kukuharibia tenda yako? Kilangila.
 
Yaonekana hili limekugusa sana. Kwani ulipewa tenda ya kumuua sasa kakimbia na kukuharibia tenda yako? Kilangila.
Ila alisema haogopi binadamu yoyote, sasa imekuwaje amekimbia kwa kutishwa na binadamu?
 
Umesema Mtoto mmoja tu wa Mawazo, mwingine ni yupi? Unafikiri mtoto wa Mawazo anaishi pale peke yake?
 
Kwenye kifo kila mtu anajiokoa kivyake hakuna undugu pale,mkikutana mbele ya safari mkibahatika kukutana ndipo kunakushangaana na kuulizana na umepona!!.
 
Hapa nimebaki na maswali mengi sana, pale nyumbani kwa lema kuna ndugu pia, kuna mtoto wa mawazo( yeye mwenyewe ndio alisema anamlea mtoto huyu nyumbabi kwake).

Leo imetokea hatari/vitisho kwake, kakimbia na mke na watoto wake tu, je hawa wengine nao wakimbilie wapi?
Inasikitisha sana. Watu kuwa wabinafsi kupitiliza.
 
Kwa hali ya Kawaida Mkuu Threat inapotokea (kama kweli sio mchezo wa kuigiza) mtu hukimbia yeye na ataongozana na weakness zake (blood family) zote ili zisije mrudisha nyuma. 😅😅😅😅😅
 
Nyumbu wa ufipa. Wakiambiwa haya ni maigizo. Wanakataa.

Sema wengine nafsi zinawasuta wanashindwa kuongopa kwa ujasiri kama Lema.
 
Wewe umejuaje kuhusu familia yake nyumbani! Tuanze sasa kujadili umbea 😂
 
Kwahiyo ulitaka Lema adakwe , akae anasubiri , auwawe na Mhutu wako kizembekizembe namna hiyo .
 
Na wewe unaumia Lema kukimbia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji120]
Huyu muongo bado unamwamini tu? Kawadanganya nyumbu bado mnashangilia.
Kamkimbia binadamu halafu anakuambia usiogope, yeye hayupo kaogopa.
Endelea kushangilia
JamiiForums589621177.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom