Kilwa94
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 2,747
- 3,183
Wajinga hawa wamehamia juzi hapa mjini wanataka kutusumbua,Vikindu ni sehemu tulivu sana na inajengeka kwa kasi sana,sijutii kushusha mjengo wangu pale Kamegela.Nyinyi wapuuzi mnaoshindanisha maeneo hamna hata vibanda, mkipanga vyumba vya 40 huko Goba mnakuna kututambia hapa. Karibuni Vikindu huku Kuna rahaa yake, nina heka nzima nimezungusha fence ndani Kuna miwa, miembe, mipera, papai, mboga mboga, parachichi, ndimu, nyanya chungu, Sasa nyie endeleeni kupanga huko Goba sijui Taabata