Goba ni ushuani kuzidi Temeke na Chamazi

Goba ni ushuani kuzidi Temeke na Chamazi

Huko hata maji ni utata..hamna mabomba

Sent using Jamii Forums mobile app
ni squatter moja hatari sana, watu wanajijengea kama hawana akili, kuna mjinga mmoja juzi atikuwa anajijengea kienyeji ghorofa likaanguka, asiimia 96 ya nyumba za oba zimejenwa maeneo ambayo ayajapimwa, ayana ati na yamejena bia vibai vya ujenzi
Wakati upande wa temeke karibia asiimia 95 ya nyumba za kule zimejenwa maeneo yaliyopimwa na yana hati
 
Ila tabata ina maeneo Tabata ina maeneo ni bora nirudi kijijini, kuna nyumba ni kama vyoo, Zingine mlangoni, zimejengewa ukuta usawa wa kifua cha mzima maji yasiingie ndani.
We pia mgeni mjiini,hata msasani na mikocheni zina maeneo ya ushenzini
 
Ila hujui kuandika ingawa mzungu, hata kama ni tayping erro, siyo kwa kiasi hiki.
Mara nyingine kabla hujaposti, pitia kwanza ulichoandika, usituandikie kama una tumbo la kuhara.
Tayping mzee!! Ni typing
 
Sidhani kama kuna mtu ajui hicho, ila unaweza jiuliza kwann vijana na watu wengi wenye hela wanajenga Goba.

Goba ni ya watu wa kipato cha wastani tu yaani kujenga nyumba, gari moja au 2 aina ya Crown, Rav4 , Harrier, Dualis, IST, Suzuki. Ni eneo lenye hadhi iliyo sawa na Tabata( Kimanga, Bima, Segerea, Kinyerezi- Songas, Kifuru, Kinyerez-mwisho), watu wenye kipato cha maisha ya wastani na siyo matajiri kama inavyoaminishwa. Ukali wa nyumba upo sawa na Tabata tu kama Kinyerez Kibaga nk. Kwa aliyewahi kufika Toangoma Temeke kule au Kijichi Beach kuna nyumba kali sana sawa na hata kuzidi Goba! Goba nyumba na frame za biashara ziko along the road, offset ya mita 500 tu kutoka barabarani ni takataka yaani mapori, vichaka na mashamba hadi leo, hivyo ni sehemu nzuri lakini ya kawaida. Naweza kukuelewa labda Mbweni, ila Goba ni eneo la maisha ya kati sawa na Tabata, Sinza, Kijichi, Salasala, Kibada nk
 
We pia mgeni mjiini,hata msasani na mikocheni zina maeneo ya ushenzini
Kwa Muda ambao nipo mjini, huwezi kuniita mgeni, angalau kuwa siyajui baadhi ya maaneo.
Huko mikocheni nimeishi mikocheni B, kipindi kile usafiri wetu Uda rangi mbili, ruti ya mikocheni B ilikua inageuzia shule pale, nyingine ruti ya mikoroshoni.

Uswahili kwa msasani ni kuanzia pale CCBRT, ukitokea Driving, upande wa kushoto mpaka mikoroshoni au bonde la mpunga, ila miaka mingi sijafika huko.
Kipindi magari ya kwetu bagamoyo tulikua tunapandia pale mnadani kariakoo.
 
Goba ni ya watu wa kipato cha wastani tu yaani kujenga nyumba, gari moja au 2 aina ya Crown, Rav4 , Harrier, Dualis, IST, Suzuki. Ni eneo lenye hadhi iliyo sawa na Tabata( Kimanga, Bima, Segerea, Kinyerezi- Songas, Kifuru, Kinyerez-mwisho), watu wenye kipato cha maisha ya wastani na siyo matajiri kama inavyoaminishwa. Ukali wa nyumba upo sawa na Tabata tu kama Kinyerez Kibaga nk. Kwa aliyewahi kufika Toangoma Temeke kule au Kijichi Beach kuna nyumba kali sana sawa na hata kuzidi Goba! Goba nyumba na frame za biashara ziko along the road, offset ya mita 500 tu kutoka barabarani ni takataka yaani mapori, vichaka na mashamba hadi leo, hivyo ni sehemu nzuri lakini ya kawaida. Naweza kukuelewa labda Mbweni, ila Goba ni eneo la maisha ya kati sawa na Tabata, Sinza, Kijichi, Salasala, Kibada nk
Sawa...wamejenga ila hakujakaa kimpangilio kuko vagarant tu

Ova
 
Goba is squatter settlements temeke is much more planned than Goba
Upo sahihi temeke ipo well planned kuliko goba watu wamejioteshea tu majumba hakuna mitaa ambayo huduma muhimu zinaweza kufika za dharura
 
Tayping mzee!! Ni typing
Lengo kukupinguza makali, unajua hizi nyuzi zinazo fanana hii, kuna watu zinawapoteza. amepata milion tatu yake, badala ya kwenda kuwekeza kwenye ardhi iliko mfano: makurunge huko kiluvya, ama Vikindu, anaona polini bora apange bora apange mwananyamala.

Kwa mtu mwenye kuona mbali, mwananyala kama una nafasi unapangisha, unaenda kujenga sehemu ya kujitanua, siyo mwananyamala, jirani akikohoa usiku anakumsha na wewe.
 
Ukiwa goba juu unaiona baahari ileee na magorofa ya town
Umaskini mzigo

Kwa hiyo unafurahia kuiona bahari kwa mbali na kuwaona kwa mbali wanaoishi ufukweni kando ya bahari na kufaidi upepo Mwanana wa bahari

Unafurahi kuona magorofa ya mbali yaliyo mjini wakati wewe unaishi kwenye nyumba ambayo sio ya ghorofa!!!

Una pepo la umaskini
 
Goba inavyowaka kisemvule,vikindu,chamazi na temeke yote pakasome

Huwezi ifananisha goba na temeke au vikindu au mbagala Chamazi

Goba ni pepo ya duniani

Liardhi la dar kusini halinaga thamani bwashe

Sehemu wanazokaa waswahili hapajawahi kuwa na maana yoyote ile maishani

Kweli goba ni goba tu[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Adha ya Goba ni maji tu ila mengineyo safi
 
Nyinyi wapuuzi mnaoshindanisha maeneo hamna hata vibanda, mkipanga vyumba vya 40 huko Goba mnakuna kututambia hapa. Karibuni Vikindu huku Kuna rahaa yake, nina heka nzima nimezungusha fence ndani Kuna miwa, miembe, mipera, papai, mboga mboga, parachichi, ndimu, nyanya chungu, Sasa nyie endeleeni kupanga huko Goba sijui Taabata
 
Back
Top Bottom