Ni sacred meal kwetu.. Na ni chakula kitamu sana😋😋😋Sijawai yaelewaga makande kabisa na ukitaka niache kula Basi pika MAKANDE.
Ugomvi wa Mimi na makande ulipogo anziaga..😊
Nikiwa HIGH SCHOOL kwa Ile miaka miwili nili ISHI Maisha KIBISHI BISHI KULA VYAKULA AMBAVYO NGURUWE AKIPEWA ANAGOMA UGALI MAHARAGE NA KANDE.
YALE MAKANDE YA KUUNGUA MAHARAGE YENYE VUMBI NA MAWE SIKUWAI KUFURAHIA YALE MAUGALI NA MAKANDE YA PALE NDIO MAANA NINA BIFU NA MAKANDE.
Kwa kweli mwaka ule nilipokuwa kilimanjaro kitambi nilikisikia tu lkn saivi nimeanza mazoezi ya kukipunguzaKwakuwa kina mfumo bora wa kuyeyuka tumboni hivyo huwezi pata kitambi