Hilo si gari la kuvutia magari ya magogo yakikwama?
​Achunge sana asifuate njia, ya mbwembwe nyingi, iliyomuangusha Michael Jackson!
Usije ukawa Mama Tiffah, mkewe Diamond, mzuriwewe!Kupiga picha nako ni mbwembwe?
Anapiga kazi Kaka huyu, tumsifie tu kwa furaha tele.