Gmail yanitesa

Gmail yanitesa

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
4,629
Reaction score
5,262
Wanajamii habari,naomba kujuzwa jinsi ya kuweza kum2mia m2 audio song kupitia gmail kwa kupitia cm ,kiukweli ni mgen kabisa katka ma2mizi ya email hvyo nahtaj msaada wenu
 
Wanajamii habari,naomba kujuzwa jinsi ya kuweza kum2mia m2 audio song kupitia gmail kwa kupitia cm ,kiukweli ni mgen kabisa katka ma2mizi ya email hvyo nahtaj msaada wenu

Labda unatumia simu ya aina gani mkuu?
 
nenda kwenye compose emai andka unayemtmia,kichwa cha email zen pale wameandk compse,wdm bonyeza option batan then gusa attachment uchague huo wimbo!


uwe una gugo kwanza
 
Back
Top Bottom