Salaam,
Wakuu nimenunua laptop yangu mpya. Sasa nahofia keyboard numbers zitafutika baada ya mda nikiwa naitimia. Sasa nimejaribu ku google nikapata kuna kitu kinaitwa glowing stikers. Hizi zinapatikana hapa bongo? Au kama kuna mtu anaweza nisaidia kitu cha kufanya anisaidia before it is too late. Nawasilisha