Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
Uandishi wenu wa kihunihuni ili muuze magazeti yenu utawagharimu siku moja. Nimeshtushwa na jinsi mlivyowahusisha baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Kodi na kifo cha mwanafunzi mwenzao. Katika habari hiyo, mmedai kuwa wanafunzi hao wanadaiwa kumuwekea sumu mwenzao iliyopelekea kifo chake.
Madai juu ya uhai wa mtu ni madai mazito na ya kuogofya kwani yanapelekea kosa la jinai kubwa kabisa la kuua kwa kukusudia. Mlipaswa kuhibitisha uwepo wa vipimo kwenye mwili wa marehemu na ripoti ya awali yauchunguzi wa Polisi juu ya uhusika wa wanafunzi hao kata kifo hicho. Hamkupaswa kisheria na kiuhaisia kuishia mlikoishia katika uandishi wenu. Kma ni makosa ya kiuandishi basi muwe makini wakati mwingine.