Global Alliance. Je, ni matapeli?

Feb 8, 2017
79
27
Baada ya kuwa jobless kwa muda mrefu, leo kuna jamaa kanipeleka makumbusho kwenye ofisi za Alliances Global. Hao jamaa wanataka utoe laki 5 alafu ujiunge nao.

Baada ya hapo inabidi utafute watu wa wili wajiunge chini yako na unapewa products zao kwa ajili ya kuuza au kutumia. Utaanza kupiga pale walio chini yako nao wakileta watu, kwa kifupi mutengeneze chain fulani.

Products zao wanadai zinasaidi matatizo mengi ya kiafya.

Je, hao watu ni matapeli?
 
Sio utapeli mkuu.ila n biashara ngumu kuliko inavoonekana rahisi hvo.Ingia mtandaon google pyramid schemes businesses utaona ni nini.
Binafsi sikushauri ukamatike mkuu hyo laki 5 heri fungua hata genge eneo lililo changamka uta groom.usishawishike na maneno mazuri na warembo wanaowaweka
 
alafu kila mtu pale anaona kumili gari kama katusua maisha
 
Utaibiwa mkuu , mjini hapa. Yaani unataka umpe mtu laki tano zako hivi hivi. Kama unazo hizo laki tano anzisha genge la matunda utapiga hela sana.
 
baada ya kuwa jobless kwa muda mrefu leo.. kuna jamaa kanipeleka makumbusho kweny ofisi za alliances global.. hao jamaa wanataka utoe laki 5 alafu ujiunge nao.. baada ya hapo inabidi utafute watu wa wili wajiunge chini yako na unapewa products zao kwa ajili ya kuuza, au kutumia...utaanza kupiga pale walio chini yako nao wakileta watu... kwa kifupi mutengeneze chain fulani.... products zao wanadai zinasaidi matatizo mengi ya kiafya.... je hao watu ni matapeli?
Mkuu hio biashara ipo lakini tatizo hizo product zao haziuziki kwa mazingira ya bongo..
Pia kuleta watu wawili ndipo tatizo linapoanzia mwisho wa siku utaonekana tapeli wewe kwa hao watu wawili utakaowapeleka..

Kama una uwezo wa kupata laki 5 ni bora ukomae na mishe nyingine..

Nina mwana wangu mmoja huu mwaka wa 2 yuko allience lakini hakuna kitu alichopata
 
du kweli mjini Shule
 
du kweli mjini Shule
Mimi mwaka 2015 niliungwa na nshu moja inaitwa icharity nikatafuta watu watano nikawaunga nikapiga faida ya laki 2 kwa siku moja tu.

Balaa likaja wale watu watano nao inabidi watafute watu watano wengine ili warudishe faida yao..
Sasa wakakosa watu wa kuwaunga.

Shida ikaanzia hapo...wakaanza kuniona mimi tapeli wanataka niwalipe hela zao...mimi nikakaza maana walijua risk ya hio business lakini wakachagua niwaunge..

Ilikua shida lkn mwisho wa siku walipotezea wakakubali kuliwa...
 
Mm mwenyewe nilishakwenda kwenye seminar Yao yakanishinda masharti ya kutoa laki tano koz kuna jamaa angu mmoja yupo hapo anamiaka miwili nae Sema naona hali yake ipo pale pale, so sielewi atafanikiwa lini
 
Mkuu achana nao haraka. Huo ndio mfumo wa desi ulivyokuwa ila hawa wameboreaha na kuweka hizo product zao.
Kimbia sio wema hao.
 
baada ya kuwa jobless kwa muda mrefu leo.. kuna jamaa kanipeleka makumbusho kweny ofisi za alliances global.. hao jamaa wanataka utoe laki 5 alafu ujiunge nao.. baada ya hapo inabidi utafute watu wa wili wajiunge chini yako na unapewa products zao kwa ajili ya kuuza, au kutumia...utaanza kupiga pale walio chini yako nao wakileta watu... kwa kifupi mutengeneze chain fulani.... products zao wanadai zinasaidi matatizo mengi ya kiafya.... je hao watu ni matapeli?
Mimi niliwaogopa walinikuta moshi nikawakimbia eti ukijiingiza hutoki milele hata ukitaka eti hata ukifa ndugu na kizazi chako wanaendelea nayo dah niliwaogopa kabisa
 
Back
Top Bottom