adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 15,569
- 33,953
#Kukata Tamaa ni sawa na Kukubali kuwa wewe ni maiti
Tupo site uwanja wa vita tunapambana bila kukata tamaa tukishindwa tunainuka tena na kufanya tathimini wapi tulipo kwama na kurekebisha Kisha kuja na nguvu mpya mpaka tone la mwisho Triumphantly..