GIS (Geographical Information System)

GIS (Geographical Information System)

Karibu mkuu, nenda kasome hiyo kitu hapo Ardhi university uje mzigoni upige hela. Mi nimeisoma kama Module tu katika kwenye First degree na PGD, ukiongeza na ujanja wako mwenyewe kazi zipo nyingi tu
 
ooh ni hilo tu! karibu MUGEREZI SPATIAL TECHNOLOGY (MUST COLLEGE) hapa ubungo plaza! 0789~328 291
 
ooh ni hilo tu! karibu MUGEREZI SPATIAL TECHNOLOGY (MUST COLLEGE) hapa ubungo plaza! 0789~328 291
!
yeah, MUST COLLEGE ndio suluhisho kwa GIS hapa Tanzania na GIS ni zaidi ya mapping kama mchangiaji mmoja alivyosema.
 
Soko lake likoje mkuu, ahsante kwa mchango
Habari zenu wana intelijensia,,Naomba msaada wa maelezo kuhusu short course ya GIS hapa Dar na fursa zake katika soko la Ajira mana nahitaji kusoma short course ya hii kitu,nina shahada ya Uongozi wa Jamii
Natanguliza shukrani.
short course itakubana maan ni ki part tuu cha course ila course ni geoinformatics ambayo ina Remote sensing hii inejikita kwenye mambo ya satelilite images, database management system,computer programing, survey nikimaanisha upimaji wa ardh, cartography undaaji wa ramani, global psition system(GPS) ,Geographical information system (GIS) hapa ndio upana wa course lkn gis kama gis wanafundisha coz fupi hio ya ardhi university ni coz iliopo chini ya chuo kilichopo nertheland na unatakiwa uwe inservice ,ipo pale infobrige consultancy ni gis tuu ,kwahio cheki pale bagamoyo university wanatoa degree
 
ila gis ni zaidi ya mapping ila kwa hapa inatumika sana kufanyia mapping ambapo ni kijisehem tuu cha ( input tuu)
 
Habari zenu wana intelijensia,,Naomba msaada wa maelezo kuhusu short course ya GIS hapa Dar na fursa zake katika soko la Ajira mana nahitaji kusoma short course ya hii kitu,nina shahada ya Uongozi wa Jamii
Natanguliza shukrani.
lkn kwa hapa mugerezi ni babkubwa utapata kozi ambayo itakupa kwa undani zaidi gis remote sensing wako makumbusho ckuizi, kiukweli ukisoma pale itakusaidia , mi nimesoma geoinformatics lkn before linisoma pale ertificate huku mbele sikupata kipya katka gis n remote sensing sababu y coz y pale mugerezi km untaka coz fup suluhisho ni mugerezi
 
Mugerezi walitufundisha certi ya gis, ambapo baadae tulienda kukutana na wanaochukua bachelor tukawa tunawasaidia vitu tuliosoma mwaka wa kwanza aisee, japo sasahivi cjui wako vip lkn nimefanya field za geospatial projects na wakufunzi wakubwa wa gis kutokana na ile knowledge niliopata pale baada ya kuendelea na diploma niliyasoma cert ni mazito zaid ,diploma nilienda kuongeza chet tuu lkn skill niliipata mugerezi
 
Back
Top Bottom