GIS (Geographical Information System)

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,648
Reaction score
3,807
Habari zenu wana intelijensia,,Naomba msaada wa maelezo kuhusu short course ya GIS hapa Dar na fursa zake katika soko la Ajira mana nahitaji kusoma short course ya hii kitu,nina shahada ya Uongozi wa Jamii
Natanguliza shukrani.
 
Habari zenu wana intelijensia,,Naomba msaada wa maelezo kuhusu short course ya GIS hapa Dar na fursa zake katika soko la Ajira mana nahitaji kusoma short course ya hii kitu,nina shahada ya Uongozi wa Jamii
Natanguliza shukrani.

Ina mana jukwaa zima hili hamna mwenye info za hii kitu waungwana??
 
GIS kwa Tanzania bado haina soko kivile zaidi ya kutumika kwa kufanya Mapping tu. GIS ni zaidi ya Mapping!
 
Ushauri wangu nenda kasome masters ya GIS na Remote Sensing nje ya nchi, ukimaliza utakuwa competent na Creative, lakin ukisoma hyo short coz, mzee utamaliza uko kama ulivo zaid ya kufanya vijikaz vya mapping, wahi sasa coz Tanzania bado hakuna wataalamu wa GIS na Remote Sensing.
 

Shukran mkuu,,cema uchumi ndo hauruhusu
 

Haina mbaya mkuu,,ngoja niangalie uwezo bac
 
Kuna chuo kinaitwa Mugerezi spatial technology kipo ubungo plaza wanafundisha short course ,certificate na diploma wapo floor ya Pili pale
 
Hii ndio itakutoa kama ukichanganya na hiyi "REMOTE SENSING" Ipo chuo cha mipango dodoma kama short course.
 

Watalaam wapo wachache ila wengi wao wanafanya mapping tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…