Girls born in 1990

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndo umeamua urahisishe mambo kiasi hiki??
Nakuwa nayo ya nini? Si ya kuwasiliana na watu wangu wa karibu na wale wanaonijua? Sasa wewe usiyenijua naachaje kukuuliza umetoa wapi namba yangu? Kwanini huwa hamuwezi kujibu hilo swali?
 
Hatuoni ni swali gumu, ni swali la kipuuzi. Mpaka nakupigia unadhani nimekosea namba? We jua tu kuna mahali nimeipata, and on later days ntakwambia niliipata wapi?

Namba yangu umepata wapi? Kwani namba yako unayo wewe mwenyewe tu?
 
Umeona eeh?
Yaani mtu hawezi hata kusema alikopata namba[emoji3]
Namba kupata sio issue. One can simply say nina business card yako.....namba nayo issue. Namba yako sio issue ndio maana nimeipata.
 
Hivi kwanini hilo swali huwa linawakera sana wanaume?

Kwani ni vigumu sana mtu kujibu umepata wapi namba?
Swali la kijinga. We unadhani namba yako unayo peke yako tu?
 
Sio kazi sio biashara wakati nakukaribisha dinner nikutongoze? Unataka biashara gani? Mimi nikishajitambulisha inatosha. Mambo ya namba yako nimepata wapi, we unadhani nitakuwa nimeipata wapi? Damn
 
Yani cha ajabu wanaume kila siku ndio mko busy kuleta uzi kuhusu uzee wetu wanawake, mara umri unaenda. Mbona sie wenyewe hatulalamiki kuhusu umri kwenda. Yani why taking panadol for someone else headache!!?
Tunatoa tahadhari. We jifariji tu.
 
Hivi kwanini hilo swali huwa linawakera sana wanaume?

Kwani ni vigumu sana mtu kujibu umepata wapi namba?
Wakati mwingine umeipata kwa njia za intelejensia. Houseboy kakupa namba, ukimtaja anaweza kupoteza kazi. Anyways, halijawahi kunishinda hili swali.
 
Weee mbona humu JF watu wanahangaika kuomba namba za simu PM? Kama wanaweza kuzipata muda wowote wanaotaka si wazipate sasa mbona wanaomba? Usumbufu tu

Au kama ni kweli siku hizi namba za simu ni rahisi kuzipata basi kuanzia leo wanaotuomba namba tutakuwa tunawaambia wazitafute wanakojua hadi wazipate halafu wakishazipata tukutane whatsapp
Kadri siku zinavyozidi kwenda mbele namba ya simu sio ishu tena.

Yaani mtu anaweza kupata namba yako ya simu muda wowote atakaoitaka.
 
Muulize kwani wote walioolewa ndiyo hawakuwa wakiuliza hayo mswali kabla hawajaolewa? Ujinga tu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asante
Hivi kweli unaachaje kuliuliza furushi limepataje namba yako[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Wengine kupata namba yako ni laana acha tu muulizwe. Namtaulizwa tu hata tukifika 50.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Tunaongelea girls born in 90s, damn it!! Yaani girls born in 90s wapo sokoni tayari kwa matumizi?

Basi soon vijana mtaanza na "girls born in 2000s". Kweli dunia inakimbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…