Girls born in 1990

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ,mtuache bana age is just a number
 

Nikija hapa jf nikisema kwamba "aagh nimechoka vyakula vya KFC" Kuna watu wataona kwamba hayo maisha ya kula KFC sina najikweza tuu ili nionekane matawi.
Same mimi nikija hapa nikisema vyakula vya mama ntilie vinaniumiza tumbo, nitakandiwa sana kwamba kwanini nakula mama ntilie nisiende sehemu classic ( watakuwa wameamini kweli nakula mama ntilie). Ila nikisema KFC wataona najikweza tuu. (KFC ni mfano tuu haimaanishi ndio best kwangu).

Mwanamke akicomment kuwakandia wanaume ataambiwa ana stress , ndoa yake haina furaha, au hataolewa na vitu kama hivyo.
Mwanamke akisifia wanaume ataonekana anajitongozesha , anatafuta bwana na vitu kama hivyo.

Jee mwanaume akimkandia mwanamke yeye hana stress?? Ndoa yake haina furaha?

Mbona hapa kwenye huu Uzi kuna makombora yanatok kwa wanaume kuja kwa wanawake lakini hamjichukulii kama na nyie mna stress ? Kama mahusiano yenu yana furaha hizo experience mbaya za wanawake mmezipata wapi?.

Yaani mpaka ifike mahali mtu aogope kucomment kwa sababu aki comment mabaya yatakuwa yanachukuliwa ndiyo maisha yake halisi, lakini aki comment mazuri hayachukuliwi ni maisha yake halisi inachukuliwa ni fantasy yake.

Mnasema huku jf watu tunafake maisha ila pale tuu ambapo tutakuwa tumeongelea mambo mazuri kama nyumba, magari, ndoa yenye furaha, kazi nzuri nk. Hapo ni kufake.

Ila tukizungumzia mabaya kama migogoro ya mahusiano, kulala njaa, kupanga uswahilini hapo inakuwa siyo kufake inakuwa ni kweli.


Smh..
Cc Lizarazu.
 
Povu. Huyu povu. Huyu inamhusu 100% . Relax bidada....maisha umeyakosea mwenyewe unamnunia nani?

Kaa kwenye ndoa jifurahishe mwenyewe. At the end of the day kumbe una dream za kuolewa.
Nimekununia au shobo?
Hapana utaolewa wewe peke yako
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Povu kali....heheh huu mchezo hautaki hasira.

Design hii ya watu ndo huwakumbuka mpaka ma x wao. Ati kwann nilimuacha fulani...angekuwa keshanioa yule.

Nice to meet you.
 
Ujue tunabadili lengo la thread mkuu.
Embu turudi kwenye Uzi kwanza [emoji3]
Na hiki kidhungu..mwenzio nmeishia la 3c
Never waste your time, never let you go
Talk down, back-to-back, you're the best I know
Oh yeah, you dey blow my mind
Blow my mind, blow my mind
For your love, I go change my life
Change my life, change my life (yeah)
Ye gba, come here do your dance make I spend ego
 
Hamna bby.
Never waste your time, never let you go
Talk down, back-to-back, you're the best I know
Oh yeah, you dey blow my mind
Blow my mind, blow my mind
For your love, I go change my life
Change my life, change my life (yeah)
Ye gba, come here do your dance make I spend ego
 
Old Cargo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sema izo ndo zenyewe...
 
dah hongereni bana jana mumetuchazara vilivyo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona umeanza mashairi Sasa.
Mimi huwa sipendi mashairi
 
Utabaki tu kuguess.

Anyway mimi nakuaga tu ni mbishi. Hasa vitu ambayo havina fact. Yani mtu analeta opinion zake halafu ndio anataka iwe hivo kwa kila mtu. Tutabishana mpaka asubuhi. Sababu wewe utakua na opinion A na mimi B afu wote hatukubaliani.

Sipendi kuona watu wanasakamwa (wanasemwa semwa). Niko kama activist but I'm not. Nimekupa mfano uelewe. I like to speak for the weakest party (mfano: Kondakta wa dalada na wanafunzi, weakest party ni mwanafunzi).

Then hii mada imenikuta tuko in a long weekend. Nina muda wa kushika simu. Comment zangu nyingi (almost zote) ni reply ya mtu ambae nae amenijibu kitu.

I can say tokea nimeingia jamiii forum miaka kadhaa iliyopita sijawahi kujibu thread au kuwa involved in it kama this one. Na sio kwamba mada za hivi hazipo au hazijawahi kuletwa. Zipo nyingi lakini sikua na muda kama niliokua nao wiki hii [emoji23][emoji23][emoji23].

Lastly, mimi nafurahia maisha yangu katika hali zote. Watu wanaonijua wanajua. Aidha nimeolewa au sijaolewa kwangu sioni kama kuna kitu kinapungua. Mimi sio kama wadada au watu wengi, they waiting for their better half to complete them. Mimi siishi hivo. Furaha yangu haitegemei mtu au watu. Iko ndani yangu.

Mimi ni mtu ambae nakasirika usiku asubuhi nakua mtu mwingine. I don't hold grudges and I don't let some external force control my happiness.
 
Nadhani hii comment hujaisoma
 
vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…