Nitajuaje kuwa nia yako ni ya kweli?
Yes I am, young girl.
Hiyo itakuwa ngumu aise
Sasa Kama mnatutisha tufanyaje???aliekufundisha hili neno Mungu anamuona.
Swali zuri sana,ukitaka kuupata ukweli nakuonyesha ukweli.
Ukiangalia kwanza kauli na kutoa nafasi ya kuthibotishiwa ukweli ulipo.
Bila kutoa nafasi huwezi kuuona au kuupata ukweli,ndio maana sisi huwa tunasema hivi "Safari moja huanzisha nyingine" japokuwa pia "Katika msafara wa mamba nao Kenge wamo"
Ndio maana ukaumbwa Mwanamke.
Okay young lady.Sasa Kama mnatutisha tufanyaje???
Lazima tuwaambie ukweli.
Nyie ndio mnasababisha dada zetu wajione wamepungukiwa kitu kumbe wako sawa.
Watanzania tuna ugonjwa wa kujumuisha. Sikushangai!
Mwanamke akiwa na misimamo, mwanaume anashindwa kwenda beyond and above misimamo ya mwanamke. Mnajumusiha ana stress yule, umri ushaenda and blaah blaah. Mwanamke strong needs strong or strongest man, mwanaume legelege ndio hivo tutabaki kusoma uzi zenu.
Wanaume wakitanzania ni waoga sana, hawawezi kudeal na mwanamke anaejielewa. Watabaki kutafuta mwanamke wanaeza kumburuza kama gari bovu. A woman who can't reason neither question anything a man does.
Enhe safi kabisa sasa hao 'kenge' tutawajuaje katikati ya 'mamba'?
Nitauliza hili swali Hadi mwisho.
Kama rizki ipo ipo tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]niliona mmoja jana kwenye ule uzi wa man u anasema eti hata tukicheza na Simba tunafungua[emoji23][emoji23]Kwa kweli uhakika hamna hata tukicheza na Simba SC
Kwamba huamini ya kuwa wewe ni mwanamke au unataka nikwambie kwanini nimesema hivyo ?Kwamba??
Akishanambia alikotoa nimesema nitakuwa huru kuendelea na mazungumzo mengine ya kufahamiana zaidiJe nikikutajia huyo mtu ukawa humjui ? Utachukua hatua gani ?
Kisha nikakwambia "Sababu unae ongea nae hapa ndio muhusika mwenyewe na sina nia mbaya na wewe,naomba unisikilize". Je utanipa nafasi ya kunisikiliza ?
Ukanidanganya kivipi?Umakini unatakiwa ila kuhusu kujua swali la aliyetoa namba ni uvivu wa kufikiri kwani unaweza kudanganywa na ukakubali na mwisho wa siku ikawa tu.
Kule nimekimbia long time ago....kuna madogo wana matusi balaa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]niliona mmoja jana kwenye ule uzi wa man u anasema eti hata tukicheza na Simba tunafungua[emoji23][emoji23]
Nimehitaji ufafanuzi wa hiyo statement yako uliyosema kuwa ndiyo maana nimeumbwa mwanamke mimi najua nimeumbwa mwanamke kwa sababu nyingi sana ila sijajua wewe umesema hivyo kwa sababu gani kuhusiana na hii mada ndiyo maana nikataka ufafanuziKwamba huamini ya kuwa wewe ni mwanamke au unataka nikwambie kwanini nimesema hivyo ?
Akishanambia alikotoa nimesema nitakuwa huru kuendelea na mazungumzo mengine ya kufahamiana zaidi
Ila sisi mnapenda tuwapapatikie ninyi si eti? Na tusipowapapatikia ndiyo hatuna values?
Nimehitaji ufafanuzi wa hiyo statement yako uliyosema kuwa ndiyo maana nimeumbwa mwanamke mimi najua nimeumbwa mwanamke kwa sababu nyingi sana ila sijajua wewe umesema hivyo kwa sababu gani kuhusiana na hii mada ndiyo maana nikataka ufafanuzi