Girls born in 1990

Wanaume bwana
 
Hehe nilishasema kuliko kuwa kwenye ndoa ambayo nateseka ni bora niwe hata single mother yaani kuliko kuvumilia manyanyaso ya mume ni bora nivumilie majungu ya jamii tu after all mimi siishi kwa kufuata mitazamo ya jamii and what is jamii by the way?

Ila nashukuru nina ndoa yenye furaha kwa kweli na simlazimishi mtu aniamini maana hata watu wasipoamini bado haibadilishi ukweli wewe kama unanidescribe mimi kupitia posts na comments zangu humu basi una matatizo na unahitaji msaada siyo bure
winks** judging from most of your comments here i doubt if you are in happy marriage! that’s marriage of yours must be hell on earth.. sio kwa comments zinazo asharia frustration na uchungu wa hali ya juu.
 
Mimi sina cha kuwashauri ambacho hamkijui, na kwangu sioni kama ni tatizo ambalo mdada anatakiwa ajilaumu. Sana sana, do your best and hope for the best.

 
Kabisa yaani sijui kwanini kuna wanawake wanakubali kudanganyika hivyo daah
Mtu akishakata tamaa ndio basi tena. Lazima ashikwe masikio.
Halafu kwanini mtu uamini anavyoishi mwingine na wewe unatakiwa uishi kama yeye?
Mtu anakwambia hutakiwi kupita 30 hujaolewa, ni wapi waliweka hiyo kanuni? Utakuta wao wenyewe hata mahusiano imara hawana ila wameshupaza shingo watu waolewe.
Wao kuoa wameshindwa wanataka sisi tuolewe na nani sasa?
 
Usijichoshe kuanza kuelezea mtu asiekujua mama.
Yani wanaonaga mtu akiwa na vitu wanavyovitamani wao na hawana basi anabrag au hana anaandika kujifurahisha.
Eti JF wote. Kwahiyo kama mtu ana ndoa asiseme? Ni wivu tuu unawasumbua na wameshazoea kuwaweka kundi fulani wanawake wa JF ndio maana wakiona ambae hayupo huko wanapata hasira na kuanza kutoa comments za chuki
 

don’t take women too serious!! understand your values bro! umekuumiza nini sasa hapo?
 

this comment reeks too much bitterness 🤪🤪
 

unawajua vizuri sana
 

psychology haidanganyi.. na hakuna kiumbe ambacho kiko transparent kama nyie wanawake!

Akiwa na furaha utajua tu
akiwa na uzuni utajua tu
Akiwa na tatizo utajua tu
Akichepuka utajua tu

ahaha... wewe kama uko kwenye mahusiano basi hauna ndoa/mahusiano ya furaha hata kidogo Marianah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…