Girls born in 1990

Baby jitahidi uwe muelewa. Sio una comment kama mashindano ya watoto wa shule walio kwenye mdahalo wasiofahamu uhalisia wa maisha.
 
Hebu rudia tena kusoma uzi vizuri
Waambie Baby. Au niongezea sauti ?

Japo umetoka nje ya mada kuu iliyopo mezani umeamishia mjadala kwenye issue ya number ya simu. Major Issue hapa ni umri plus being over selective .
 
Sio kuwa sensitive, kawaida tu kuna watu wameumbwa hivyo huwa wanatunza kumbukumbu sana
Hata mimi natunza sana kumbukumbu lakini sio hizi comments za jf ambazo mwisho wa siku haziingizii hata senti moja labda kama niwe sina mambo ya msingi yanayohitaji space kichwani mwangu, kitu ambacho hakiwezekani.
 
Utakuta ananifuatilia kitambo ndio maana ana kumbu kumbu hizo. Huyu sijui ni spy...hahaha mi hunipati. Hata ukinijua jina hujui pa kuniona na hakuna mahali kuna picha yangu.
 
Not to that extent bby. It sounds weird.
Or eslse uwe na motives za ziada.
Haka kadada sijui kametumwa? Kanaonekana kana nifatilia kitambo. Mpaka comment? Duh lipo jambo.

Kwanza kaje katueleze hapa kwanini kamebadili ID toka Edelyn kuwa Marianah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…