Girls born in 1990

Si ndio hapo sasa
Mbona nyie mnachagua saana ila hatulalamiki mweeeh.....ila sisi tukimkataa mwanaume bse hatujaridhika naye mnasema tunaringa[emoji849]
 
Jamani hebu someni teba bandiko langu na hiyo picha. Stupid questions zipo nyingi huo wa namba umetolewa mfano tu. Na vijimaringo vingine mlivyo navyo.

Sasa isiwe topic kuwa namba ndio issue ya kujadili. Acheni maringo, being too selective, vijitabia vya ajabu ajabu umri hauwangoji ndicho ninanchomaanisha.
 
Mada kama hizi huletwa na wanaume maskini.

Mna maneno mengi na lawama tele kila kukicha.

Mbona wanawake wana washughulisha sana kwani umri wao ukienda wewe kinachokuuma nini?
Hahaha mi sina umasikini wowote. Kama hiyo haitouch we kinakuuma nini?
 
Ninayo mimi na watu wangu wa karibu. Sasa wewe sema ulipoitoa wapi. Hutaki kakojoe ulale. Wapo wanaokesea namba pia kwani hujawahi kuona au kusikia.
Asee sijawahi kushindwa hilo swali if I really need you. In case I get to know you and I can't manage to capture your number from yourself....i will find it somewhere else na jibu ntakupa nilikoipata.

Sometimes wanaotupa namba wanasema "please usinitaje" sasa mnataka tuvunje uaminifu?
 
Kuna yule rafiki yako unayemuamini sana ndio kanipa namba na anasema usinitaje please. Kwa hiyo 90% ya majibu ya sehemu nilikopata namba ni uongo. Nanyi mnakubali kudanganywa. Be it safe usiulize.
 
Kama unataka kutengeneza uaminifu huku unapokuja lazima utaje ulipotoa namba.
 
Kuna yule rafiki yako unayemuamini sana ndio kanipa namba na anasema usinitaje please. Kwa hiyo 90% ya majibu ya sehemu nilikopata namba ni uongo. Nanyi mnakubali kudanganywa. Be it safe usiulize.
Hamna rafiki unaemuamini wa hivo. Rafiki mwanaminifu atakuuliza mwenyewe kuna jamaa anaomba yako nimpe. Yani kwamba hilo jamaa likikutafuta hamna suprise ulishaambiwa. Mtu anaetoa namba afu hatakai ajulikane atakua ni mshikaji tu sio rafiki
 
Mbona wanaume pia mko too selective ila wanawake hatulalamiki? Tena huwa mnataja sifa utafikiri mnataka oa malaika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…