47pro
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 1,204
- 332
Ni masaa Sita, sahivo nlikua tayari nlishamset madha wa chapo yake chini ya maji, juu si mbali na Ile kazi kwa mjengo. Ni third day tuko juu ya roof kazi si mchezo. Sasa kuko na huyu mzae, ukichek ni kama amekula thirty years hivi ama less Lakin haezi shuka 28 years, alikua ametokelezea Tao, near, in front of that building where I was trying to make some money to feed my daughter...... Alikuaga na loud speaker akidai "anatafuta chalii" na qualifications ni none at all yeye amesema, akuwe mnono, mwembamba, mrefu, mfupi mweupe, mweusi yeye hajali bora penzi Tamu kama asali. It was funny anyway.
Kuna besthe yangu wa jamu yeye kumbe anamjua, sahiyo akatembeza udaku. And it was like huyo mzae alikua yeye haezi date kama hauko na Mali. Akaendelea kusema kipindi akimjua alikua ni mtu wa kuchill Hilton hotel ya Nairobi, huku wakivunja mifupa na wasee. She forgot kuwa Hizo zote was temporary files za maisha. Miaka zimeenda na sasa atafuta chalii.
Most of girls are of this type, when they are still in a good price eeeee maringo nayo, yaani mafala huku base nikuteswa teswa kama kupewa ploti kileleshwa ama zile ploti za kawangware.
Nyie wanana wa siku hizi mbona mnajidai? ati hawezi penda mtu kama hana Mali. Now miaka zikiwa zimeenda Sasa ako wapi huyo chalii akuite honey?
Ako wapi huyo chalii akupe ganji at age of 30?
Kama ulikaa hujui now unajua. Take a note.
Wacha niingie base, siasa ni ya ball na kucheki masupa wa-power.