mbabimbabi
Member
- Jun 21, 2014
- 38
- 7
Ondoka Iringa haraka nenda Dar ukampe mimba mwenzio
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
jina lako na comment yako ni hatari sanaa.
Ondoka Iringa haraka nenda Dar ukampe mimba mwenzio
Imepita mwezi toka tufanye tendo LA ndoa ..........wakati tunafanya mapenzi hatukutumia kinga na yeye alikuwa kwenye danger ya kupata mimba....Siku zilivyoenda akasema hajaziona Siku zake kuashilia kua ameishapata mimba..... Kadri Siku zilivyoenda akanambia anahisi kama ni mja mzito... Mimi nikamwambi kwa uhakika zaidi basis upime kama ni mjamzito..akanambia hataki Pima... Mimi nikamwambi don't worry cause I love you so much nipo tayari kwa lolote juu ya mimba... Akaanza visingizio vingi Mara hook Mimi (yeye) anataka akasome masters.. Nikamwambia there is no problem....nikamwambi huwezi na sitaki sikia unataka to a mimba!! Hii ni kwasababu ninampenda sana tena sana.. Akanambia okay ... Sasa Leo ananambia ameingia period? Wadau hivi is it possible kweli? Ninavyoonge hivi Mimi nipo iringa yeye yupo dar!!! Naombeni ushauri wenu wadau.. Karibuni