VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 676
Imepita mwezi toka tufanye tendo la ndoa wakati tunafanya mapenzi hatukutumia kinga na yeye alikuwa kwenye danger ya kupata mimba.Siku zilivyoenda akasema hajaziona Siku zake kuashilia kua ameishapata mimba.Kadri siku zilivyoenda akanambia anahisi kama ni mja mzito.
Mimi nikamwambi kwa uhakika zaidi basis upime kama ni mjamzito akanambia hataki Pima mimi nikamwambi don't worry cause I love you so much nipo tayari kwa lolote juu ya mimba.Akaanza visingizio vingi mara huku mimi yeye anataka akasome masters.
Nikamwambia there is no problem.Nikamwambi huwezi na sitaki sikia unataka to a mimba.Hii ni kwasababu ninampenda sana tena sana.Akanambia okay sasa leo ananambia ameingia period,wadau hivi is it possible kweli ninavyoongea hivi mimi nipo Iringa yeye yupo Dar es salaam.
Naombeni ushauri wenu wadau.
Karibuni