Girlfriend wangu kafanana sura na dada yangu

Girlfriend wangu kafanana sura na dada yangu

nikimwangalia vizuri girlfriend wangu kafanana sura na mmoja wa dada zangu,hata tukiongozana watu husema nakuona uko na sister hapo,hata kwenye kumkamua huwa namuonea aibu nahisi kama nafanya dhambi ya kutembea na dadangu,yeye ni kabila tofauti kabisa na sisi maana niliogopa nikawa napeleleza asili yao kuhofia labda mzee alichepuka ,hili swala linanikosesha amani japo nampenda

kawaida tu kaka...afu bora we anafanana na dadaako kuna wengine wao ndo hufanana!! yaani mtu anafanana na demu wake ka mapacha.
 
Mkuu umegundua lini kuwa wanafanana, kabla ya kumtongoza au baada ya kudu nae? Isije ikawa ulianza kumpenda sis. then ukamtafutia mbadala wake, naomba kujitoa.
 
nikimwangalia vizuri girlfriend wangu kafanana sura na mmoja wa dada zangu,hata tukiongozana watu husema nakuona uko na sister hapo,hata kwenye kumkamua huwa namuonea aibu nahisi kama nafanya dhambi ya kutembea na dadangu,yeye ni kabila tofauti kabisa na sisi maana niliogopa nikawa napeleleza asili yao kuhofia labda mzee alichepuka ,hili swala linanikosesha amani japo nampenda

Dogo threads zako nyingi za ajabu ajabu!! Tafuta magazeti ya udaku uwe unaandika story za kidakuzi na machombezo, una kipaji
 
Tena inawezekana akawa sio dada yako bali ni shangazi yako...kamuulize babu nae km alichepuka enzi za ujenzi wa reli ya Mjerimani...Huyo girlfriend wako ana umri gani? Usikute ndio ile vijana wa siku hizi umetafuta jimama la kukulea ndio unaliita girlfriend badala grand friend
 
Dogo threads zako nyingi za ajabu ajabu!! Tafuta magazeti ya udaku uwe unaandika story za kidakuzi na machombezo, una kipaji

dogo bibi yako we unafikiri kuwa wtu wazima hawana magalfriend naweza kuwa sawa na baba yako kiumri ------
 
Very likely kuvutiwa na sura uliyo familiar nayo!
huko kufanana na dadako ndiko kuliko kovutia kwake!
uliza kuhusu asili yake,uliza wazazi wake!mkutanishe na baba yako bila kujua!
kutana na mama yake
ukiona mama yake ameshtuka ujue unamkumbusha mwanaume aliyezaa nae,ambaye anaweza kuwa baba yako au ndugu yako upande wa baba
na ukiona mzee kashtuka ujue mchumba wako amemremind kuhusu mwanamke aliyewahi kuwa nae hapo zamani,very likely baba asijue kuwa ana mtto mwingine zaidi ya nyie!
so usijipe shida buuure ya kuwa curious unreasonably,wakati kipo kitu unaweza fanya!
 
Haha haha ongea na mshua huwez jua mkuu
 
dogo bibi yako we unafikiri kuwa wtu wazima hawana magalfriend naweza kuwa sawa na baba yako kiumri ------
mtu mzima mwenzio niko hapa tuwe wachumba kama Dr Slaa n.a. Josephina mchumbusi usiogope
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom