Girlfriend wangu ananiendesha kweli,Kichwa kinanivuruga sasa

w
Ndugu naomba ushauri., Girl friend wangu alitaka kununua toyota Passo sasa mimi kwa sasa sina mpunga wa kununua gari maana hata mwenyewe bado niko kwenye usafiri wa jumuiya.

Sijui kakutana na jamaa gani huko mtaani mara naskia kesho anaenda kuchukua namba, hio ikiwa na maana keshanunuliwa passo na kesho inawekewa namba rasmi which means Toyota Passo money can buy is her baby now.
kwa kweli inauma mno ukizingatia nimeshampatia sana hizi elfu 50,60, 70 ambazo hata mimi mwenyewe nilikua najinyima., Amesahau kabisa kwamba maisha ni kama Mb hulala na kusimama.

Anyway nipeni ushauri lakini usiwe wa kuniumiza.
wanawake wa mwendokasi achana nao mkuu,
Kuna mmoja alisema anataka kununua gari nikamwangalia, nikakaa kimya, nikamwambia nunua tusisumbuane mafuta maana mwenyewe nilipaki langu, but ukweli wanawake wanafurahia magari kuliko sisi wanaume,
Maana mbona gari unaendesha na ni kitu cha kawaida kabisa, lakini watoto wa kike ndiyo vile,
Magroup ya wasichana yanawaharibu dada zetu
 
Acha uzembe broo, hyo gari ni kama yenu wote kwani ata ww utaitumia,uo ni mgawanyo wa majukumu, piga moyo konde sukuma ndinga broooo
 
Man nakuomba usisikitike kabisa. shukuru Mungu amekuonyesha huyo gf wako yukoje. Na tabia zake zikoje. Bora umeumia sasa hiv.. kuliko ungeumia wkt uko kwenye ndoa.

Fanya maamuzi... achana nae.. ondoka. Hizo pesa ulizo umpa fanya kama ulimsaidia braza. Ndio inauma... haoni , hakumbuki wema wako. Lakin ipo siku.. akili itamrud.. atakuja kukulili sana.

Mrudie Mungu wako.. tubu. Concetrate kwenye kazi zako.. then Muombe Mungu akupe mke mwema.
 
hajesma kaniacha lakini mimi siwezi nikawa na dem alionunuliwa passo na mtu mwingine
Unacho subiri ni nini ili hali dhahiri amekuonyesha kitendo hiko wazi wazi....? Fanya maamuzi sasa.. kwa kulinda heshima yako.. na maisha yako ya baadae. Mwanamke kama huyo atakusumbua sana ukimuoa.
 
Ndugu naomba ushauri., Girl friend wangu alitaka kununua toyota Passo sasa mimi kwa sasa sina mpunga wa kununua gari maana hata mwenyewe bado niko kwenye usafiri wa jumuiya.

Sijui kakutana na jamaa gani huko mtaani mara naskia kesho anaenda kuchukua namba, hio ikiwa na maana keshanunuliwa passo na kesho inawekewa namba rasmi which means Toyota Passo money can buy is her baby now.
kwa kweli inauma mno ukizingatia nimeshampatia sana hizi elfu 50,60, 70 ambazo hata mimi mwenyewe nilikua najinyima., Amesahau kabisa kwamba maisha ni kama Mb hulala na kusimama.

Anyway nipeni ushauri lakini usiwe wa kuniumiza.
Sijaelewa kinacho kuliza ni nini? Gari si kanunua mwenyewe? una hakika amenunuliwa na mwanaume ambaye ni mpenzi wake? Kama una hakika kahongwa na uwezi vumilia basi muache kabisa aende kwa huyo anayedhani amemuhonga.
Inawezekana ulimpa matumaini ya kumnunulia ndio maana alikuomba......
Achana nae huyo si size yako.
 
Achana nae huyo tayari ameishakuwa na mambo mengi ukiendelea nae utasumbuka tu mwisho wa siku ujifie kwa presha
 
Ndugu naomba ushauri., Girl friend wangu alitaka kununua toyota Passo sasa mimi kwa sasa sina mpunga wa kununua gari maana hata mwenyewe bado niko kwenye usafiri wa jumuiya.

Sijui kakutana na jamaa gani huko mtaani mara naskia kesho anaenda kuchukua namba, hio ikiwa na maana keshanunuliwa passo na kesho inawekewa namba rasmi which means Toyota Passo money can buy is her baby now.
kwa kweli inauma mno ukizingatia nimeshampatia sana hizi elfu 50,60, 70 ambazo hata mimi mwenyewe nilikua najinyima., Amesahau kabisa kwamba maisha ni kama Mb hulala na kusimama.

Anyway nipeni ushauri lakini usiwe wa kuniumiza.
Pole mkuu, chukua maamuzi magumu tu ya kuacha aende, usije ishi kama mtumwa mkuu, huyo c Mama ako. Ukiangalia mmekutana ukubwani to. Love Who loves you, someone who don't love you live.
 
Vizuri gharama na ukubali kugharamia asa ww unachukua range rover huna hata uwezo wa kuweka mafuta mkuu tafuta mnae endana kihali na atakae kubali hali yako japo wengi vinyonga.
 
Shukuru huyo anamtindua anampa Passo wenzio wanatombewa wanapewa virusi peke yake.

Watu wanasalitiwa japo wamehonga mpaka Majumba na Vyeo vikubwa Wewe hicho Ki elf 50 chako ulidhan ndo hatimiliki ya kumiliki uchi wa Mtu Mwingine? Uzuri lile Shimo huwa linatanuka tu lakin kwa chini halina kitako hivyo Hofu kuwa litajaa ondoa!
Watu mna mambo ila jibu zuri!!!
 
Ndugu naomba ushauri., Girl friend wangu alitaka kununua toyota Passo sasa mimi kwa sasa sina mpunga wa kununua gari maana hata mwenyewe bado niko kwenye usafiri wa jumuiya.

Sijui kakutana na jamaa gani huko mtaani mara naskia kesho anaenda kuchukua namba, hio ikiwa na maana keshanunuliwa passo na kesho inawekewa namba rasmi which means Toyota Passo money can buy is her baby now.
kwa kweli inauma mno ukizingatia nimeshampatia sana hizi elfu 50,60, 70 ambazo hata mimi mwenyewe nilikua najinyima., Amesahau kabisa kwamba maisha ni kama Mb hulala na kusimama.

Anyway nipeni ushauri lakini usiwe wa kuniumiza.
Mwache akakae huko aliko nunuliwa hiyo passo
 
Hahaha nmecheka saana...yeye uwezo kuhonga hana afu anakuja humu kulia lia.Hata ningekuwa Mimi nisingelikataa hilo gari kwa lipi hasaa? Ka elfu 50 kako
Kama Huna pesa watoto wazuri utaendelea Kuwaita mashemeji tu
 
Utakua mwanaume wa Dar wewe!!!
Anyway, nkushauri tu kua ulipata girlfriend ambayo siyo size au type yako. Mwenzio aonyesha kupenda mambo makubwa elhali uwezo wako mdogo

Chakufanya hapo achana nae na tafuta binti wa aina yako.. Half yaelekea pia u mdhaifu kuleeeee, maana ungekua mahiri wala asingekuketea mchezo mchezo
Hata ungekuwa vizuri kiasi gan kitandani km akiamua kukusaliti atakusaliti tu.
Sikatai sbb nayo huenda ni sabb lkn usaliti upo tu.
Hawa wenzetu baadhi yao hutawaliwa na tamaa. Hata km ww, mpenzi wako akipata mtu anayempa hela zaid unacho mpa lazima akusaliti tu.
Kwa mfano, akipatikana jamaa, likimuambiwa wife wako limgegeda halafu limpee laki 5, ww unafikiri atakataa?
Hakuna mkate mgumu kwa chai mkuu
 
Back
Top Bottom