Girlfriend wangu ananiendesha kweli,Kichwa kinanivuruga sasa

Utakua mwanaume wa Dar wewe!!!
Anyway, nkushauri tu kua ulipata girlfriend ambayo siyo size au type yako. Mwenzio aonyesha kupenda mambo makubwa elhali uwezo wako mdogo

Chakufanya hapo achana nae na tafuta binti wa aina yako.. Half yaelekea pia u mdhaifu kuleeeee, maana ungekua mahiri wala asingekuketea mchezo mchezo

utakua una akili mbovu
 
mkuu nimeshakwambia hapo juu sina pesa au nikaibe sasa??? nimesema msinipe ushauli wa kunisimanga nyiee mxxxiu


Acha ujinga wewe. Unalalmika utazani girl friend ni mkataba wa kudumu. Siku zote mchumba au girl friend huna mkataba naye anaweza kufanya lolote lile kadiri inavyompendeza yeye. Ebu tafuta fedha ujenge maisha ngono kitu gani mkuu?
 
the strong the survival, ukiweza mchukulie verossa na wewe kama huwezi achana naye!, tafuta pesa achana na hao viumbe
 
Nyie watu wa mikoani mapenzi yanawatesa mno na amkawii kujiua...badala ufurahi kagongwa na kupewa gari ambayo itakusaidia mpaka wewe kupiga misele mjini eti unalilia...haya mwambie arudishe hiyo gari alafu uende ukamnunulie nyingine
 
Kama ye kachukua Toyota Passo we katafute Nissan Passo hapo mtakuwa ngoma droo.
 
Mkuu,huo ni utumwa wa hiari.Ni utumwa wa kujitakia.Na wanaume wote wanaogopa kutamka HAPANA firmly mbele ya wapenzi/wake zao,hao hawana mwisho mwema.
 
*Siku mpenzi wako akikutosa kisa hauna pesa usilie we tulia na tafuta pesa kwa hudi na uvumba*

*Ukizipata tu jirengeshe tena ajue unapesa aje akuombe msamaha usimkatalie we kubali na tangaza unataka kumuoa akupeleke kwao*

*Ukisha fika kwao onesha sura ya furaha alafu waambie unataka uwafanyie ukarabati Wa nyumba yao*

*Wakikubali tu basi wewe anza na kuezua paa LA nyumba yao alafu toroka futa kabisa mawasiliano hapo naamini moyo wako utafarijika sana
 
Shukuru huyo anamtindua anampa Passo wenzio wanatombewa wanapewa virusi peke yake.

Watu wanasalitiwa japo wamehonga mpaka Majumba na Vyeo vikubwa Wewe hicho Ki elf 50 chako ulidhan ndo hatimiliki ya kumiliki uchi wa Mtu Mwingine? Uzuri lile Shimo huwa linatanuka tu lakin kwa chini halina kitako hivyo Hofu kuwa litajaa ondoa!

Pohamba hii msg umeandika wewe mkuu?
 
chakukushauri labda tafuta pesa kwanza halafu ndio ufikirie kumiliki mabint wazuri
 
Back
Top Bottom