Girlfriend wangu ananiendesha kweli,Kichwa kinanivuruga sasa

Ndugu naomba ushauri., Girl friend wangu alitaka kununua toyota Passo sasa mimi kwa sasa sina mpunga wa kununua gari maana hata mwenyewe bado niko kwenye usafiri wa jumuiya.

Sijui kakutana na jamaa gani huko mtaani mara naskia kesho anaenda kuchukua namba, hio ikiwa na maana keshanunuliwa passo na kesho inawekewa namba rasmi which means Toyota Passo money can buy is her baby now.
kwa kweli inauma mno ukizingatia nimeshampatia sana hizi elfu 50,60, 70 ambazo hata mimi mwenyewe nilikua najinyima., Amesahau kabisa kwamba maisha ni kama Mb hulala na kusimama.

Anyway nipeni ushauri lakini usiwe wa kuniumiza.
Haja kwambia hakutaki,sasa kichwa kinavurugika na kitu gani? kwani mpenzi wako akiwa na gari kuna shida gani kama wewe huna? usiwe na fikra mbaya kama watu wengine kama mwanamke ana gari atakudharau sijui huyo lakini sio wote wenye tabia mbaya ...
 
Bro piga chini, wanawake wengi sana...
Yaani hilo sio la kuumiza kichwa, PIGA CHINI
 
hajesma kaniacha lakini mimi siwezi nikawa na dem alionunuliwa passo na mtu mwingine
wacha upumbafu wewe.......tafuta money......unajivuruga mwenyewe....unalilia kakahaba badala ya kufikiria napateje money....pambafu sana wewe.
 
Mbona wengi mnahisi kanunuliwa na mtu hiyo Passo? Je kama alikuwa ana make hizo 50, 60 za huyu jamaa anaongeza na zake kapata ya kununulia Passo? Wakati wewe zako unatumia ovyo kuhonga yeye zake anatunza bank anatumia zako kula na kufanyia starehe sasa kwanini asitajirike? Wewe utajiri wako uliwekeza kwenye K.
 
ni mgawanyo wa majukumu! kwani amekuambia ndo amekuacha!???

Shukuru huyo anamtindua anampa Passo wenzio wanatombewa wanapewa virusi peke yake.

Watu wanasalitiwa japo wamehonga mpaka Majumba na Vyeo vikubwa Wewe hicho Ki elf 50 chako ulidhan ndo hatimiliki ya kumiliki uchi wa Mtu Mwingine? Uzuri lile Shimo huwa linatanuka tu lakin kwa chini halina kitako hivyo Hofu kuwa litajaa ondoa!

sasa 50 60 70
unalalamika anakuvuruga kichwa chako

ungempatia passo si ungeking'oa hicho kichwa kabisa

Shikamoo jf.
 
Duuh hyo nshda inakuwje unkuw na mcchana mpka ananunliw gr na m2 mwngne we bd up nae 2 ama inafrah kpnda hy gr y mme mwenzio
 
Afadhali imeyajua akiwa bado girlfriend, watu hununilia wake za watu mahari ya maana sio passo
 
Back
Top Bottom