girlfriend na boyfriend

:confused:
wewe siku zote unadhani huwa humu ndani JF unasema/kuwasiliana na wakubwa wenzio tu? sasa subiri warudi shule wapitie pale internet cafe halafu uone majibu yao humu.Ninapoishi mimi internet cafe karibu zote utawakuta haohao

tall we acha tu hiki kizazi cha dotcom........
 
Maybe am old-fashioned lkn this is a no-no. Mixing education and relationship at Secondary and High School is a receipe for failure. Wengine we are employed na relationship challenges kibao, now I can imagine students who do not even know what they want to become.

You will end up serving one master, and believe me it will not be your education. Wazazi na walezi habari ndo hiyo.

what do they even know about being in a relationship jamani watoto hawa?!!

kwenye hiyo blue labda kwao as kids ni tofauti as there is nothing real serious......

and its very true that when they serve two masters; b/gf and education, the b/gf master prevails!!!
 
.......Watoto haswa hawa teenagers wala mzazi usijidanganye kwamba unamchunga au unampa ratiba ili awe busy........wapo very smart kiasi kwamba mzazi wala hutajua kama ana GF au BF.
Mimi nikija kuwa na mtoto awe wa kike au wa kiume, nikishaona amepevuka ni kiasi cha kuwa karibu naye na kumfanya ni rafiki yangu na kumueleza jinsi mambo ya mahusiano yanavyotakiwa kuwa.
Mzazi inabidi uongee na mtoto wako usimuonee haya kumpa sex education, maana kama hujamweleza ukweli wewe mzazi utakuja kuumbuka bure kwa kutomwambia ukweli mwanao kuhusu mahusiano.

umenikumbusha wimbo wa JAYDEE
'ninachotaka mwambe ukweli wala usimfiche kwa manufaa yake, utaokoa maisha yake..................'
 
Back
Top Bottom