Girl is Nakked Weporn

Girl is Nakked Weporn

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Habari wana MMU

Mwanamke ni silaha iliowazi katika dunia kama utamfananisha na kisu basi ni kile kilichotolewa katika ala yake tusipoangalia wanaume wote itatuuwa silaha hii.

Mazingira yamebadilika utandawazi umeongezeka wanawake wameengezeka uzuri wa kununua madukani umepamba moto.

Nasema haya kulingana na hali wanawake wazuri kwa sura ni karibuni wote duniani hakuna mbaya ubaya wa mwanamke ni pale anapoamka akikoga tuu basi balaa linaanzia hapo.

Mavazi yamekua ni kishawishi kikubwa kwa wanaume wanawake wanavaa wakiacha nusu ya mwili wao ukiwa uchi jambo ambalo linawaweka na hali tete wanaume.

Kwa kweli kila mwanume huvutiwa na chake mbele ya msicha ila wengi wa wanaume hupenda maumbile ya mwanamke aliejazia nyuma hasa figa namba 8 wanaume wanakosa usahihi wa kuchagua wachumba kwa sasa kwani kila ampitiae mbele ni mzuri kuliko yule alienae.

Usaliti umekua mwingi katika mapenzi hasa kwa wanawake walio katika ndoa na waliokuwa hawajaolewa ni mahodari wa kuiba waume za watu.

Uhuru wa mtu ni kuvaa apendavyo ila tujue kua uhuru wako ukimnyima mwenzako uhuru basi huo ni uhuru batli wanawake wanapenda uhuru wa kuvaa nguo zilizowabana,fupi zenye kuonesha michoro yao wakifanya hivyo sisi wanaume tunakua na hali ngumu ya matamanio uhuru wao unatuweka sisi matatani.

Akina dada punguzeni hii hali hali musipoangalia ukimwi hautoisha ndoa zitatoweka mayatima watazidi ndoa hazitofungwa tena.

Tafakari nipe majibu
 
mmmh akili kichwani mwako amna jibu zaidi ya hilo ..... wanatengeneza hizo nguo z nusu uchi ni wanaume sasa sijui hili unachukuliaje?
 
Heading ilinichanganya nikafikiri mdau anazunguzumzia 'porn'
Muwe mnaandika kwa kiswahili kama hiyo lugha iliyoletwa na meli ni tatizo.
 
Heading inadhihirisha umuhimu wa shule za english medium nchini,wale BRN ps consider this,

msg hii ni ukwel kabisa ndo mana mabango ya madawa ya upungufu wa nguvu za kiume ni meng,mwanaume haon tofaut mitaani na chumbani wote wapo uchi
 
Wanawake hawa ni silaha mahsusi ya kuumiza moyo pia ni dawa haswa ya kutibu majeraha ya moyo. Inategemea tu na muda wanaokuja na kuondoka
 
Me nilijua movie
Wanaume mkitutumia vizuri bila karaha basi ukisengekuwa na matata
 
Back
Top Bottom