huyu nae katengenezewa program gani?
mi nimedownload hio gimp upuuz tu ya kitoto tena sana tu. Nlivoona hii thread nkajua kitu cha ukweli.
Kama utalinganisha picha na appearence unaweza dhani vinalingana lakini ukianza kuedit unaona upo limoted vitu vingi sana.
Maybe mi beginner kwenye hio gimp hebu nielezeeni unacrop vipi item zenye random shape? Maana sjaona hio option kabisa.
Hizo picha na Appearance sio za GIMP ni za Darktable PhotoWork Shop.
mi nimedownload hio gimp upuuz tu ya kitoto tena sana tu. Nlivoona hii thread nkajua kitu cha ukweli.
Kama utalinganisha picha na appearence unaweza dhani vinalingana lakini ukianza kuedit unaona upo limoted vitu vingi sana.
Maybe mi beginner kwenye hio gimp hebu nielezeeni unacrop vipi item zenye random shape? Maana sjaona hio option kabisa.
unaweza tumia path tool/lasso or quick mask kuselect, tafuta manual yake ina maelezo tosha.