Gigy Money: Nivae nguo ya ndani ya nini?

Angekuwa huku kijijini kwetu koromije ningemvizia siku moja nimfunue sketi nimchungulie
 
Kazi ya chipi ni Ipi haswa ukisha fahamu kazi yake ndo uanze kutoa comment
 
Huyu muuza maku mjini ana kazi kweli kutangaza biashara yake.. tatizo ukimtomb@ anatangaza.. nyangau sana hili.. kiboga boga..
 
"Nivae chupi ya nini? tena ningewashauri wadada wasivae chupi kubana matumizi" Hayo yamesemwa na mwanadada machachari maarufu kwa jina la Gigy Money.

Baada ya video queen, Gigy Money kusemwa katika mitandao ya kijamii kwamba havai chupi, mrembo huyo amesema ni kweli havai chupi na ni maisha anayopenda kuishi.
Akiongea na Bongo5 Jumamosi hii, Gigy Money amesema anajisikia vizuri akivaa nguo bila chupi kwani anajiona yupo huru zaidi.

“Hata hapa nilipo sijavaa chupi na nikweli sipendi kuvaa chupi ila napenda kuvaa chupi yenyewe bila kuvaa nguo juu yake,” alisema Gigy Money.

“Chupi nayo ni nguo na ni vazi la ndani, nivae chupi nisivae hayo hayawahusu, hapa nilipo sijavaa chupi kwanza chupi inaharibu shepu, kama hii nguo niliyovaa leo nikivaa na chupi si naharibu nguo yangu, vitu ninatakiwa kuonekana. Tena ningewashauri wadada wenzangu wabane matumizi kwa sababu chupi zinapanda bei kila kukicha,” aliongeza.

Katika hatua nyingine Gigy amesema kwa wasanii wachanga ndio watu ambao wanamtafuta zaidi ili ashiriki kwenye video zao.
Tigo line
 
dah michirizi vepeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom