Gift Voucher Credit Cards - Where Can I get In Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gift Voucher Credit Cards - Where Can I get In Dar

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Buswelu, Jul 30, 2012.

 1. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hellow

  Kuna Precedure wakati unataka kuinstall some application kama sio zote kwenye iphone and Ipad inabidi uwe na credit care/Master Card/Visa etc then info zake unaziweka kwenye registration in order kupata hiyo application.

  Sasa kama mtu huna hizo card above unaweza tumia Gift Voucher Cards na ukaweza install unacho taka. Je Kuna mtu anaweza kuwa anajua where naweza pata tanzania?

  Natanguliza Shukrani.

  Buswelu
   
 2. TajiriMutoto

  TajiriMutoto Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  ningependa kujua kuhusu hili pia, ngoja tusubiri
   
 3. Kireka1980

  Kireka1980 JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 18, 2008
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  nenda istore pale shoppers plaza wanazo, lakini zipo za pounds (utalipia equivalent tzs kama huna hiyo pesa ya malkia) so nakushauri uende na device yako ili ukishanunua wakufungulie account ya uk store.
  source: mimi mwenyewe nimefanya hivyo last week
   
 4. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2012
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mkuu umekuwa msaada mkubwa.....kama mie naweza kufungua account...si naweza tuma mtu akaninunulia then akanitumia halafu nikaendelea na utaratibu mwingine?

  Santee sana.
   
Loading...