Buswelu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2007
- 1,998
- 356
Hellow
Kuna Precedure wakati unataka kuinstall some application kama sio zote kwenye iphone and Ipad inabidi uwe na credit care/Master Card/Visa etc then info zake unaziweka kwenye registration in order kupata hiyo application.
Sasa kama mtu huna hizo card above unaweza tumia Gift Voucher Cards na ukaweza install unacho taka. Je Kuna mtu anaweza kuwa anajua where naweza pata tanzania?
Natanguliza Shukrani.