Giant $30bn gas project -Msumbiji ndani ya mwaka mmoja Tz after 4 years and no confirmation

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Giant $30bn gas project now hangs in the balance

headline_bullet.jpg
Plans to build Tanzania's giant liquefied natural gas plant are now hanging in the ,,,!
MOZAMBIQUE’s commissioning of an Italian company to start building a planned liquefied natural gas (LNG) plant in that country has put neighbors Tanzania at a considerable disadvantage in the race to construct the first gas exporting facility in this part of Africa.
The Mozambican government this week granted its approval to the Italian energy firm Eni to go ahead with the project, with Eni - which aims to sell the gas produced by the plant to British oil company BP - expected to make its final investment decision (FID) later this year.

In contrast, Tanzania was initially expected to make a final investment decision regarding its own planned LNG plant this year, but this has been delayed for at least another four years due to red tape and regulatory uncertainties.
 
Haya madudu aliyafanya nani? Maana hata majipu yatumbuliwe mchana na usiku bila ya kushughulika na walioyasababisha ni ujiga mtupu. Kama mradi unaanza na hakukamiliki kwa wakati na hakuna wa kuchukuliwa hatua, basi ni lazima tutapokonywa kila kitu na Majirani zetu!!
 
Haziwezi kujengwa LNG mbili kwenye eneo moja hapo ni aidha Msumbiji au kwetu, na hali inavyoonekana ni kwamba kitajengwa Msumbiji na sababu pia nafikir Msumbiji wamekuwa tayari zaidi kukubali masharti ya mkataba klk sisi!

Sisi tuko waangalifu zaidi na kuibiwa klk wao, kwa wao bora liende hivyo ingawaje kuna kila dalili kwamba LNG itajengwa Msumbiji lkn kuna kila dalili kwamba watapigwa sana na mwisho wa siku hawatafaidika kitu hawo wa Msumbiji!
 
jamani jamani sasa niwakati muafaka kwa koleo kuitwa koleo.
 
In contrast, Tanzania was initially expected to make a final investment decision regarding its own planned LNG plant this year, but this has been delayed for at least another four years due to red tape and regulatory uncertainties.
Ni nani au ni mamlaka ipi inayoweza kuiondoa hiyo "Regulatory uncertainties" ambayo inabidi kama nchi tusubiri kwa miaka minne?
 
Hakuna cha majipu wala nini,regulatory nchi hii imezidi ni maulasimu kila kona yasiyo na msingi,in doing business report nchi yetu inazidi kushuka,kwenye project negotiation panel ndo tuko poor tunategemea ma consultant wa kigeni hawawezi kua wazalendo
 
Politics na business haviendi...akati sie tulikuw busy na politics Mozambique walikuwa wanafanya maamuzi magumu na ya haraka...
Na nilishasoma mahali hii gesi kwa kuwa imegundulika kwa wingi zaidi Msumbiji Tz tuna wakati mgumu kufaidika na ya kwetu...timing ilikuwa issue muhimu sana...otherwise itakuwa mambo ya overproduction na kugombea masoko...
 
Hii ni blah bla au unaamini ulichoandika!? Ni mifano ipi uliyo nayo inayoonesha kwamba sisi ni waangalifu zaidi kwenye kuibiwa kuliko Msumbiji?
Mozambuque imekuwa inavutia wawekezaji sana these days...hata wakulima waliofukuzwa kwa Mugabe wamekimbilia huko....
 
Hapa watu wanataka kuleta siasa kwenye mambo ambayo yanahusu sera zinazotokana na miongozo ya kitaalam kuhusu uchumi na siyo Blah Blah za Kisiasa.
 
Haziwezi kujengwa LNG mbili kwenye eneo moja hapo ni aidha Msumbiji au kwetu, na hali inavyoonekana ni kwamba kitajengwa Msumbiji na sababu pia nafikir Msumbiji wamekuwa tayari zaidi kukubali masharti ya mkataba klk sisi!
...Actually, Msumbiji watajenga mbili. Moja floating (Eni - Italy), nyingine onshore (Anadarko - USA).

...Wana haraka ya kuuza gas yao, maana soko linazidi kujaa, na bei haieleweki. Time frame yao ni 2016-2020.

Sisi tuko waangalifu zaidi na kuibiwa klk wao, kwa wao bora liende hivyo ingawaje kuna kila dalili kwamba LNG itajengwa Msumbiji lkn kuna kila dalili kwamba watapigwa sana na mwisho wa siku hawatafaidika kitu hawo wa Msumbiji!
...Mpango wao ni kuwekeza kwenye hisa walizonazo kwenye hiyo miradi miwili. Tatizo fedha -inaongelewa karibia dola bilioni mbili za kimarekani- zinazohitajika ni nyingi na serikali yao haina ubavu. Wanafikiria kuwatumia hao hao wawekezaji, waje wakatane mradi ukianza zalisha. Wanaamini hii itafanya mradi ukamilishwe haraka.

...Mchanganuo wa uwekezaji hisa na umiliki wa Empresa Nacional de Hidrocarbonetos - ENH katika miradi hii miwili ni;
The challenge for cash-strapped ENH — which generated 3.5bn meticais of revenue last year — is how it raises the estimated $1.5bn to $1.7bn to cover its share of the projects. It has a 15 per cent stake in the Anadarko consortium and a 10 per cent share of the Eni project.
 
Politics na business haviendi...akati sie tulikuw busy na politics Mozambique walikuwa wanafanya maamuzi magumu na ya haraka...
Na nilishasoma mahali hii gesi kwa kuwa imegundulika kwa wingi zaidi Msumbiji Tz tuna wakati mgumu kufaidika na ya kwetu...timing ilikuwa issue muhimu sana...otherwise itakuwa mambo ya overproduction na kugombea masoko...

Kweli...tulipoteza sana muda sababu ya eneo la kujenga hiyo LNG plant. Lakini siamini plant moja itatosha eneo lote hili
 
Kwa hali ya soko la dunia ilivyo ikijengwa plant Tanzania bado gesi itapata soko Asia ,Australia na ulaya.
hivyo sio jambo la kuleta hofu kwa msumbiji kujenga plant Yao.
muhimu tpdc waache siasi wapige kazi plant ikamilike 2017.
kama royal Dutch shell wameingia katika sekta ya gesi basi suala la soko sio tatizo.
Exxon Mobil na royal Dutch shell Ni kampuni kubwa duniani zenye masoko Yao tayari na zote zipo Tanzania,nchi ipewe nini tena?Ni kuweka mazingira mazuri ya wao kufanya kazi halafu kila kitu kinanyooka.
 
Tuache uoga kwa kweli eti Tanzania inakuwa disadvantaged kisa kuna gas nyingi Mozambique mbona saudi Arabia ina mafuta mengi lakini haijwahi kuwa tishio kwa Qatar .Oman au Kuwait wenye mafuta madogo kuliko Saudi?
 
uhuru wetu ulikuwa wa kisiasa na siyo uchumi. naona makampuni ya wakoloni ndiyo yatapiga pesa hapo.
 
Haya madudu aliyafanya nani? Maana hata majipu yatumbuliwe mchana na usiku bila ya kushughulika na walioyasababisha ni ujiga mtupu. Kama mradi unaanza na hakukamiliki kwa wakati na hakuna wa kuchukuliwa hatua, basi ni lazima tutapokonywa kila kitu na Majirani zetu!!
mkuu umeelewa hata mada yenyewe? au umekurupuka kuandika tu bila kusoma kilichopo?
 
Huwezi fanya mradi wa $30 Billion kwa mwaka, hata hao maengineer wakufanya hiyo kazi huwez wapata kwa timeframe ndogo hivo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom