Giant $30bn gas project -Msumbiji ndani ya mwaka mmoja Tz after 4 years and no confirmation

Haya madudu aliyafanya nani? Maana hata majipu yatumbuliwe mchana na usiku bila ya kushughulika na walioyasababisha ni ujiga mtupu. Kama mradi unaanza na hakukamiliki kwa wakati na hakuna wa kuchukuliwa hatua, basi ni lazima tutapokonywa kila kitu na Majirani zetu!!
Mnapo kuwa mnalalamika
Mnapaswa pia mfanye kujiuliza katika vichwa vyenu
Hayo malalamiko yenu yana stahili kweli

Rais ndio kwanza ana miazi 3
Kwa Akili yenu ya kipumbavu
Mnadhani kipindi hicho
Anaweza kuizungukia kila sekta na kuyatumbua majipu hayo!

Minapenda kuwa ambia
Awamu hii mjitahidi kuchuja kubeza kwenu
Mtajiaibisha tu
Sio kila jambo lazima mbeze
 
Kwa hali ya soko la dunia ilivyo ikijengwa plant Tanzania bado gesi itapata soko Asia ,Australia na ulaya.
hivyo sio jambo la kuleta hofu kwa msumbiji kujenga plant Yao.
muhimu tpdc waache siasi wapige kazi plant ikamilike 2017.
kama royal Dutch shell wameingia katika sekta ya gesi basi suala la soko sio tatizo.
Exxon Mobil na royal Dutch shell Ni kampuni kubwa duniani zenye masoko Yao tayari na zote zipo Tanzania,nchi ipewe nini tena?Ni kuweka mazingira mazuri ya wao kufanya kazi halafu kila kitu kinanyooka.
Pamoja sana mkuu
Ume elezea vizuri
 
Haya madudu aliyafanya nani? Maana hata majipu yatumbuliwe mchana na usiku bila ya kushughulika na walioyasababisha ni ujiga mtupu. Kama mradi unaanza na hakukamiliki kwa wakati na hakuna wa kuchukuliwa hatua, basi ni lazima tutapokonywa kila kitu na Majirani zetu!!
Allen nakumbukà ili comment ktk ujenzi wa EPZ ya Bagamoyo!!
Naomba

Allen hebu kuwa at least na consistency ktk thinking na jinsi unavyowasilisha mawazo yako!
Ktk hii thread inaonekana kama mtu unayejali maslahi yaa nchi!
Unataka mambo yafanyike kwa wakati na upo serious kiasi hadi unataka watu wapewe adhabu kwa kuzembea!
Go back ktk posts zako zinazojadili masuala haya ya uchumi hasa ktk mega project kama hii!
Weka series ya posts zako juu ya kusitishwa kwa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo!
Ulikuwa unachekelea nchi ku give up major project kama ile!
Ulikuwa una make jokes zaidi ya wazaramo kuliko kuchangia critically ktk kuwasilisha hoja ya kufunga mradi!
Leo nashindwa kukusoma, je issue ni wale wazaramo wa Bagamoyo na nyimbo zao za " .... Mwanangu kala kisamvu" au vipi? I don't get you, nini motives zako ktk mambo haya, just kuikosoa tu serikali na kuiweka ktk hali ngumu?
 
Haziwezi kujengwa LNG mbili kwenye eneo moja hapo ni aidha Msumbiji au kwetu, na hali inavyoonekana ni kwamba kitajengwa Msumbiji na sababu pia nafikir Msumbiji wamekuwa tayari zaidi kukubali masharti ya mkataba klk sisi!

Sisi tuko waangalifu zaidi na kuibiwa klk wao, kwa wao bora liende hivyo ingawaje kuna kila dalili kwamba LNG itajengwa Msumbiji lkn kuna kila dalili kwamba watapigwa sana na mwisho wa siku hawatafaidika kitu hawo wa Msumbiji!
Umenena. Sioni haja ya kwenda haraka wakati unapokwenda hupajua. Ni kweli kama hakuna regulation umetengeneza ulaji wa watu wachache. Wao Msumbiji waanze sisi tutafuata baada ya kujilidhisha na tunachotaka kufanya. Isike kuwa tukaanza kupiga kelele kama ilivyo kwenye madini.
 
Allen nakumbukà ili comment ktk ujenzi wa EPZ ya Bagamoyo!!
Naomba

Allen hebu kuwa at least na consistency ktk thinking na jinsi unavyowasilisha mawazo yako!
Ktk hii thread inaonekana kama mtu unayejali maslahi yaa nchi!
Unataka mambo yafanyike kwa wakati na upo serious kiasi hadi unataka watu wapewe adhabu kwa kuzembea!
Go back ktk posts zako zinazojadili masuala haya ya uchumi hasa ktk mega project kama hii!
Weka series ya posts zako juu ya kusitishwa kwa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo!
Ulikuwa unachekelea nchi ku give up major project kama ile!
Ulikuwa una make jokes zaidi ya wazaramo kuliko kuchangia critically ktk kuwasilisha hoja ya kufunga mradi!
Leo nashindwa kukusoma, je issue ni wale wazaramo wa Bagamoyo na nyimbo zao za " .... Mwanangu kala kisamvu" au vipi? I don't get you, nini motives zako ktk mambo haya, just kuikosoa tu serikali na kuiweka ktk hali ngumu?
Watu wanachanganya siasa na mambo serious...mimi mtu aliyekuwa anapinga mradi wa Bagamoyo nilikuwa simuelewi...wengi unakuta argument yao kwa nini haukuwa kijijini kwao...akati Tanzania ni moja na tuko huru kuishi popote...

Wengine wanachukulia comments humu kama ni kupingana na serikali ya JPM...like serious...na mimi naanza kuamini kuwa kuna watu wanachukua buku 7
 
Back
Top Bottom