Nisahihishe kama nimekosea jina lako linaanzia na B ,unaishi kati ya Dar ,Morogoro na Dodoma mikoa hyo yote mitatu, pia umemaliza degree ya pili hivi karibuni mengine, Utaniambia Pm
Ladyred hii kitu huwa wanafanya zaid wadada. Mara nyingi imenitokea after first date.
Unamchukua dada unampeleka date ya nguvu anafurahia ..ana enjoy. Then next day anakata mawasiliano na ww.
Unashindwa kuelewa nn kimetokea. No phone calls. Ukimtext hajib.. ukipiga simu hajibu.
Si kitu kizur kwakweli. Kama mtu hukumpenda. Mwambie kiutu uzima kuwa unashukuru for date lakin hujafeel upendo wowote kutoka kwake.
Hata kama mtu anaumia lakin atleast kuna relief flan ya yeye kujua kinachendelea.
Kuna mdada mmoja aliwahi kuniambia mtu akimtoa out halafu asimpe hela ndio mwisho hatokaa apokee simu yake wala kujibu SMS, isijekuwa ulikutana na wa hivyo
Nisahihishe kama nimekosea jina lako linaanzia na B ,unaishi kati ya Dar ,Morogoro na Dodoma mikoa hyo yote mitatu, pia umemaliza degree ya pili hivi karibuni mengine, Utaniambia Pm