Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,602
- 830,349
Kinachoendelea CCM ni wazi kabisa kundi la CCM asili limeamua kutoa ujumbe wa kutisha mno kwa CCM chotara na CCM maslahi wakiwemo wale waliobebwa kwa mbeleko kubwa.
1. Karibia wote waliondooka upinzani kwa kejeli na kebehi nyingi na kujiunga na CCM wamepigwa chini
2. Wapendwa wa mkulu kama Mwakyembe, Makonda nk wamepigwa chini
3. Watu kama Mrisho gambo wamepita
Pamoja na kwamba huu unaweza usiwe mwisho wao kisiasa lakini tayari kengele ya hatari imeshalia. It's too late kufanya lolote.
Yajayo ni mengi, yajayo yanafurahisha, kuna wapenzi huamua kusaliti mahusiano kwa hasira ya kutendwa.
Hii hasira kali ya sasa ikizidi kutamalaki, naona wazi ghorofa linatitia, mbuyu huoooo unapinduka.