bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 8,094
- 7,852
kutitia ndio inamaanisha nini?
Eh kamusi please!
Kutitia ni kuzama pole pole, na linatumika kwa sehemu yenye ardhi laini yaani mchanga mwingi au topetope.
kutitia ndio inamaanisha nini?
tafadhari = TafadhaliPicha tafadhari