Crucifix
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 1,655
- 593
Nimepita eneo karibu na ghorofa lililoporomoka na kuona lile jingine ambalo mwenyewe aliamriwa kulibomoa bado limesimama dede! Je, amri ya kulibomoa haikuwa sahihi, au kuna zuio mahakamani au ndio akili zimeshahamia kwenye matusi ya wabunge na hakuna anayekumbuka hatari iliyo karibuni?