wana Jf naomba tena kupitia mods kuwajulisha kuwa mali nilizozitaja hapo zinauzwa na hakuna dalali hapo utazungumza na mwenye asset moja kwa moja.ghorofa lipo mbezi beach karibu na bahari ya hindi pana eneo la kutosha mita za mraba 2000 na ni ghorofa moja.godown lipo ubungo block B lipo karibu na barabara na linawafaa sana wafanyabiashara wanaojihusisha na kusafirisha mizigo(logistics)eneo ni mita za mraba 2820.pia shamba lipo hapo mapinga karibia na shule ni hekari mbili na kuna nyumba kubwa.bei ni nzuri sana kwa asseti zote.mods naomba msitoe hii kwani muuzaji anatatizo na anataka kusafiri kwenda uk.kwa mawasiliano piga 0717474904.