50 Cent toka mtoto baada ya mama yake kuuliwa akaenda ishi na wajomba zake unaambiwa jamaa alikuwa anawasupply home mzigo wa cocaine!... Yani mjomba na ndugu wakipata arosto anawaambia kuna rafiki yangu anauza mzigo wanampa hela akawaletee kumbe anazunguka mtaani anarudi anawapa mzigo toka ndani ya nyumba humo humo[emoji2]. Badae alikuja kamatwa na gun shuleni kwao ndio ikabidi awaambie na home yeye ndio supplier wao na anauza sana!!... Jamaa ni gangstar hasa!.Fifty kumbe naee ni mhuni toka ktamboo
get rich or die tryin nazanii si humo ndani anarap!?...au street of bloods?Duuuuhhhhh,noma sana...huwa kuna movie fulani ya 50 Cent siifaham kwa jina lkn ndani yake huwa kuna mauaji sana na matumizi ya madawa wa kulevya,kama unaifaham kwa jina naomba unifahamishe!
Before I self destructDuuuuhhhhh,noma sana...huwa kuna movie fulani ya 50 Cent siifaham kwa jina lkn ndani yake huwa kuna mauaji sana na matumizi ya madawa wa kulevya,kama unaifaham kwa jina naomba unifahamishe!
Hata get rich or die trying mbona haina violence kihivyobefore i self destruct haina violence sana kama ndio aliyokuwa anaifikiria huyu jamaa
hyo slogan co poa50 ni real gangster.. Licha ya kuuza madawa kwa miaka kibao hajui ladha ya cocaine wala heroine.. Hajawahi kuonja. Na alikuwa na adabu sana mbele ya bibi yake hivyo bibi akuwahi kuamini kama mjukuu wake ni jiwe na alianza kulipa bills za Nyumba ya bibi yake akiwa bado mtoto anauza unga street.
Hadi Leo bibi yake 50 anasema 50 ni mpole na mkarimu ila kitaani wanakwambia jamaa ana kauli mbiu yake moja kwamba "show no love..love will get you killed" kwa hiyo yeye kabla hujamkill anakukill wewe.
Huu ndio msimamo wakiume lazime utofautiane na woteUongo mtupu
wewe ndo unatukorofisha.Ghetto Quran??????
Anawakorofisha waislam