Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 948
- 1,092
Habari Tanzania !
Kwa yule ambaye anataka wazo rahisi la biashara na kikubwa kwake ni pesa, nakushauri fungua kiwannda bubu eneo au mahali au nyumba unayoishi ujizalishie bidhaa ya sigara ungize sokoni.
Taarifa muhimu
a) Mtaji ni Tsh.20,000 na kuendelea
b) Uwe na kifaa cha kuwekea au kuchakata tumbaku (Mashine ya kutengeneza kwa mkono)
c) Buni logo na jina la biashara uchwara.
d) Soko peleka vijijini na miji ambayo ndio inakuwa.
NB
1. Sigara 20 unatengeneza kwa dk.3 mpaka 5 kwa mashine bubu & ukitumia mkono tu utachukua dk 10 mpaka 15.
2. Bei ya soko kwasasa mtaani ni Tsh.1700 mpaka Tsh.1800 ila wewe uza Tsh.1400 au Tsh.1500 tu acha tamaa.
3. Tumbaku zilizokauka zinapatikana mikoa 3 unaijua.
4. Faida ni kubwa mara 10 mpaka 20 ya mtaji wako.
ONYO : Sigara ni hatari kwa afya yako.