Ghetto: Anzisha kiwanda cha sigara

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
948
1,092
Habari Tanzania !

Kwa yule ambaye anataka wazo rahisi la biashara na kikubwa kwake ni pesa, nakushauri fungua kiwannda bubu eneo au mahali au nyumba unayoishi ujizalishie bidhaa ya sigara ungize sokoni.

Taarifa muhimu

a) Mtaji ni Tsh.20,000 na kuendelea

b) Uwe na kifaa cha kuwekea au kuchakata tumbaku (Mashine ya kutengeneza kwa mkono)

c) Buni logo na jina la biashara uchwara.

d) Soko peleka vijijini na miji ambayo ndio inakuwa.

NB

1. Sigara 20 unatengeneza kwa dk.3 mpaka 5 kwa mashine bubu & ukitumia mkono tu utachukua dk 10 mpaka 15.

2. Bei ya soko kwasasa mtaani ni Tsh.1700 mpaka Tsh.1800 ila wewe uza Tsh.1400 au Tsh.1500 tu acha tamaa.

3. Tumbaku zilizokauka zinapatikana mikoa 3 unaijua.

4. Faida ni kubwa mara 10 mpaka 20 ya mtaji wako.

ONYO : Sigara ni hatari kwa afya yako.
 
JF katika ubora wake ...safi sana vijana tuchangamkie fursa izi tuache kusubiri kuajiriwa
 
Usidanganyike. Katafute kwanza taarifa za makampuni ambayo yapo sokoni
 
Wazo Zuri ,,, lakn mkuu umeelezea juu juu Sana ,,, hujaweka ABC zote , unatengenezaje, pia hio mashine unapataje au unaunda vp ! Weka hata picha ikiwezekana !
Thanks for sharing
 
Wazo Zuri ,,, lakn mkuu umeelezea juu juu Sana ,,, hujaweka ABC zote , unatengenezaje, pia hio mashine unapataje au unaunda vp ! Weka hata picha ikiwezekana !
Thanks for sharing
Mashine inatumika kupakia tu tumbaku kwenye kitobo ambacho baadae inageuka kuwa sigara kamili. Unaweza paki sigara kwa mikono japo inakuchukulia muda.

Muundo wa sigara inatengenezwa kwa njia mbili a) mashine
b) mkono

Yote kwa yote unaweza ni rahisi inategemea unataka njia ipi.
 
Vile vishungi(filta) vya juu vinapatikanaje/wapi?

Au ndio inakua kama sigara kali(nyumambele, mbelenyuma)
 
Aisee,, hii kitu inaweza kuwa bonge la business.. imagine ukiweza kubuni ka fleva ambako unique, soko likiikubali unapandisha bei kidogo ule faida nzuri. Pia unaweza ajiri hata vijana ili kuongeza uzalishaji
 
Hii business inawezekana Seema inahitaji leseni ya serikali kuanza biashara unless utengeneze na uuze kwa njia haramu.
 
Back
Top Bottom