Ghati Chomete ashiriki mazishi ya marehemu Sunzy Mwita Chambiri wilayani Butiama, mkoani Mara

Ghati Chomete ashiriki mazishi ya marehemu Sunzy Mwita Chambiri wilayani Butiama, mkoani Mara

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
260
Reaction score
199
MHE. GHATI CHOMETE ASHIRIKI MAZISHI YA MAREHEMU SUNZY MWITA CHAMBIRI WILAYANI BUTIAMA, MKOANI MARA

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete Leo tarehe 10 Machi, 2026 ameungana na mamia ya waombolezaji waliojitokeza kushiriki Mazishi ya Marehemu Sunzy Mwita Chambiri aliyekuwa Mtumishi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TMDA) Makao Makuu Dodoma.

Mazishi hayo yamefanyika katika Kijiji cha Wegero, Kata ya Buswahili, Wilayani Butiama, Mkoani Mara na kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Chama, Serikali, Watumishi wa TMDA, Ndugu, Jamaa na Marafiki.

Bwana alitoa, Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe. AMINA

Mhe. Ghati Chomete (Mb),
Viti Maalum Mkoa- Mara,
Butiama (Wegero) -Mara,
Machi 10, 2026.

IMG-20260310-WA0146.jpg
IMG-20260310-WA0148.jpg
IMG-20260310-WA0147.jpg
IMG-20260310-WA0149.jpg
 
Wewe Chawa Hivi Kisyeri Chambiri bado yupo Au alikufa kwa sumu za CCM?
 
Back
Top Bottom