Ghasia mbaya zashuhudiwa Afrika Kusini

Ghasia mbaya zashuhudiwa Afrika Kusini

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,622
Reaction score
8,427
160621111344_south_africa_violence_640x360_bbc_nocredit.jpg

Polisi nchini Afrika Kusini wanajaribu kuzua ghasia ambazo zimetokea maeneo ya mji mkuu wa nchi hiyo Pretoria.

Taarifa ya serikali ambayo inataka kuwepo utulivu, inasema kuwa maafisa wa polisi walifyatuliwa risasi wakati waandamanaji waliposhambulia gari lao kwa mawe. Ghasia zilianza katika eneo la Tshwane kutokana na suala la mgombea wa kiti cha meya ambaye aliteuliwa na chama cha ANC kugombea uchaguzi mwezi Agosti.

Vyombo vya habari nchini humo vinaonyesha vizuizi vinavyowaka moto. Serikali ya Afrika Kusini imeoamba kufanyika kwa mazungumzo ili kusuluhisha tatizo hilo.

Chanzo: BBC
 
Hawa dhambi ya ubaguzi na kutotambua michango ya wa afrika wenzao katika ukombozi dhidi ya kaburu, itawamaliza na bado.
 
tutafikafika Tanzania kama mambo yakienda mlama.

swissme
 
Back
Top Bottom