Gharama zinavyo limit frequency ya kuonana kwa wapenzi

Gharama zinavyo limit frequency ya kuonana kwa wapenzi

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,477
Reaction score
21,025
Habarini wadau,

Hapa nazungumzia wale ambao wako ready to mingle kwa wale ambao mmeshavutana na kuwekana ndani utatoa tu experience yako.

Kwa maisha ya siku hizi wanaume wengi wa mjini unapoomba mtoko lazima ujipange ili uonekane unaenda na wakati na kujitoa ile aibu ya mtu mwenyewe ni mchovu tu ,ukiangalia kiundani kati ya wawili hawa kuna mmoja lazima awe anaunguza engine (anatumia energy sana) ili aweze Ku accommodate kukutana na mwenzie that's why siku mwanaume akiomba mtoko we mtoto wa kike uwe na assumption hizi kichwani mwako either ni mwisho wa mwezi (salary imetoka) ndo maana mitoko inakua mingi mwisho na mwanzo wa mwezi katikati inakua adimu.....hata mood ya mapenzi sio nzuri pia, amelipwa deni lake au inawezekana biashara imepiga profit ya kutosha, seminar na safari zimelipa pia au mavuno yameuzwa(wakulima).
Zipo siku unakua na hamu ya kukutana nae mpenzi ila kama mfuko hausomi unaamua kughairi kupanga appointment

Kwa formula hiyo hapo juu utagundua mitoko is directly proportional na income status ya mtu ya siku hiyo !!kwa mtindo huu me na conclude Gharama za outing zina control frequency ya wapendanao kukutana so usishangae kuona unadai kuonana na boyfriend ukaambiwa niko busy hadi siku fulani (hasa kwa mwanamke ambaye ana ile ideology ya ...Bure bure bure...and the viceversa is true).

Tena mwingine ukitoka out simple usipo spend fedha anaku judge humpendi, bahili, umefulia etc na maswali yakujiuliza kama huyu akinioa hata 50000 ya wigi atatoa?

Au wadau wenzangu nadanganya hapa? Namaliza hivi "To every mtoko there is energy and somone ameumia behind"
Evelyn Salt Mtambuzi Madame B Mentor BADILI TABIA Mashaxizo Heaven on Earth Watu8 @M011 Kim nana Khantwe Mr Rocky Tized miss chagga masai dada Karucee nimekumis dear tunatoka lini?�� Malaika mimi
 
Habarini wadau,hapa nazungumzia wale ambao wako ready to mingle kwa wale ambao mmeshavutana na kuwekana ndani utatoa tu experience yako
Kwa maisha ya siku hizi wanaume wengi wa mjini unapoomba mtoko lazima ujipange ili uonekane unaenda na wakati na kujitoa ile aibu ya mtu mwenyewe ni mchovu tu ,ukiangalia kiundani kati ya wawili hawa kuna mmoja lazima awe anaunguza engine(anatumia energy sana) ili aweze Ku accommodate kukutana na mwenzie that's why siku mwanaume akiomba mtoko we mtoto wa kike uwe na assumption hizi kichwani mwako either ni mwisho wa mwezi(salary imetoka) ndo maana mitoko inakua mingi mwisho na mwanzo wa mwezi katikati inakua adimu.....hata mood ya mapenzi sio nzuri pia, amelipwa deni lake au inawezekana biashara imepiga profit ya kutosha, seminar na safari zimelipa pia au mavuno yameuzwa(wakulima)
Kwa formula hiyo hapo juu utagundua mitoko is directly proportional na income status ya mtu ya siku hiyo !!kwa mtindo huu me na conclude Gharama za outing zina control frequency ya wapendanao kukutana so usishangae kuona unadai kuonana na boyfriend ukaambiwa niko busy hadi siku Fulani (hasa kwa mwanamke ambaye ana ile ideology ya ...Bure bure bure...and the viceversa is true)

Au wadau wenzangu nadanganya hapa? Namaliza hivi "To every mtoko there is energy and somone ameumia behind"
Evelyn Salt Mtambuzi Madame B Mentor BADILI TABIA Mashaxizo Heaven on Earth Watu8 @M011 Kim nana Khantwe Mr Rocky Tized miss chagga masai dada Karucee nimekumis dear tunatoka lini?👅 Malaika mimi

Kuna vitu vingine wasahili sijui tunakaririshwa na nani?? Hakuna kanuni kuwa mtoko ni lazima ujioneshe ubavu wa kipato au kwenda sehemu aghali kuspend vijisenti vyenu.

Ni hivi, mtoko mnaweza kwenda sehemu yoyote tulivu mkapata kusemezana!! Mfano inaweza kuwa kwenye mandhari nzuri ya miti, waterfalls, beach na popote pale patapowavutia na mtaweza kukaa kwa utulivu!!!
 
"I'm busy" kwangu means;

- am not really interested in u

- u r not worth spending my money with

- there is someone else! ;-)

Bazazi original katika ubora wake teh teh
 
Kuna vitu vingine wasahili sijui tunakaririshwa na nani?? Hakuna kanuni kuwa mtoko ni lazima ujioneshe ubavu wa kipato au kwenda sehemu aghali kuspend vijisenti vyenu.

Ni hivi, mtoko mnaweza kwenda sehemu yoyote tulivu mkapata kusemezana!! Mfano inaweza kuwa kwenye mandhari nzuri ya miti, waterfalls, beach na popote pale patapowavutia na mtaweza kukaa kwa utulivu!!!

Hahaha..hiyo sio kwa demu wa kibongo..eti umpeleke waterfall wakati yeye akili mwake anataka akapate kwanza vitu laini somewhere then after mikito gesti hausi
 
Huko unakokutaja usafiri ,vinywaji na chakula ni expensive au we unaenda jioni wakati baby AMESHASHIBA....kupunguza gharama?👅
 
Hahaha..hiyo sio kwa demu wa kibongo..eti umpeleke waterfall wakati yeye akili mwake anataka akapate kwanza vitu laini somewhere then after mikito gesti hausi

Teh teh mwambie huyo na kama hujatumia hela anaku judge humpendi
 
RRONDO kumpeleka mtoto wa maana kuspend 10000 ndugu yangu lbda mkale pweza feri...Kwa nnavowafahamu mademu wa kibongo na ma boblish yao hutachukua round utapigwa chini tu babake,Yani mara mia mwanamke alioridhika na wewe 100% ndio atakubali muende out kokote bila kujali mtatumia sh.ngapi ilimradi muinjoy time pamoja tu ila vinginevyo ukikutana na msanii utafeli na wasanii wapo ngazi zote kitaa mpk ushuani!
 
Last edited by a moderator:
sasa unanitoa mtoko mkavu mkavu maana yake nini? na mimi nakubali mitoko hasa mara nyingi mwisho wa mwezi .. kama ni mfanyabiashara siku naona biashara imechnganya
 
sasa unanitoa mtoko mkavu mkavu maana yake nini? na mimi nakubali mitoko hasa mara nyingi mwisho wa mwezi .. kama ni mfanyabiashara siku naona biashara imechnganya

ndo tujiulize sasa biashara kuchanganya na mtoko wa mapenzi vinauhusiano gani
 
ndo tujiulize sasa biashara kuchanganya na mtoko wa mapenzi vinauhusiano gani
uhusiano ni kuwa naenda kutumia pesa bila mawazo na najua hata mood ya mtoaji itakuwa vizuri so mambo yanakuwa mswano... kiukweli kama hamna pesa hata mimi nakuwaga mkali na hata mazungumzo hayaendi vizuri
 
Ila wanaume wengi wasipokuwa na hela hawajiamini, yani hata ukimwambia mtoke na utaridhika kwa chochote atacho offer lazima akatae...

Pesa ni zaidi ya viagra kwa mwanaume.
 
uhusiano ni kuwa naenda kutumia pesa bila mawazo na najua hata mood ya mtoaji itakuwa vizuri so mambo yanakuwa mswano... kiukweli kama hamna pesa hata mimi nakuwaga mkali na hata mazungumzo hayaendi vizuri

Hahahaaa tupo wengii, yani nikiwa sina pesa afu anivurugee....weeeeh huo moto naouwasha kiboko, ila nikiwa na pesa hata maudhi madogo madogo nayavumilia...
 
Back
Top Bottom