NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 1,001
Chumba 1 ni tofari 500 x1000x3=1500×1000 bei ya tofari mpaka msingi anzia hapo
Million 5 unajenga tena bila kukopaAre you serious? Unamaanusha malipo ya fundi au nini? Na vyojua hapo minimum awe million 30 kama ndio kila kitu.
Sijui kwa nn sizikubali sana tofali tofauti na za mchanga
5millions.....ila kwa kijijin vibarua nafuu ...
Wkt mwingine hugharimu sana tena sana. Unatakiwa uangalifu wa hali ya juuNitatumia bati za kawsida simba dume bora nianze hata na chumba na sebule mambo mengne nitayafanya taratibu nikiwa tayar kwangu na mpango nilionao niwakupiga tofari mwenyewe kunawalionishauri kua nitasave some amount of money endapo nitapiga tofari mwenyewe
Hapana, hilo ni boma tuu tena kama amejenga kwenye sehemu ilio level, zaidi hata 17 mpaka 18Ila kiufupi 15 million unaweza kuhamia bila kumaliza
30m ukisimamia vizuri wewe mwenyewe unajenga nyumba ya kawaida ya vyumba vitatu.Habari wapendwa kaka zangu na dada zangu naomba niulize gharama za ujenzi wa nyumba vyumba vitatu uwanja upon Chalinze msoga maeneo ya hospital iwe na master room,2rooms sitting na dining just simple sio complicated pako flat.asanteni maximum niandae kiasi gani
Hiyo pesa haitoshi vyumba vitatu, jenga banda la uwani chumba na sitting room uhamie.Ukipata pesa utajenga nyumba kubwaNina million 5 tu naweza maliza nikahamia ili sehemu nyingne nimalizie kidogokidogo jaman wenye nyumba wananinyanyasa sana
Mimi hiyo 5m niliishia tu kupiga msingi, ramani ilikuwa na ukubwa wa 13.9mx10.6m, bedrooms 3,jiko, sitting room, dining room na toiletsKwa specifications za nyumba unayoitaka bajeti ya million tano utaishia kwenye boma tu. Andaa bajeti ya kama 15 m, vinginevyo jenga nyumba ya kawaida (siyo master)
Are u sure? Au umwkosea kuandika??kama kweli nitahamia mbeyaJamani kujenga sio mchezo, mm kusimamisha tu Nyumba ya 1 master+3 rooms, sitting room, dinning+ jiko. Nimetumia 6,957,000 na hii ni mbeya sijui kwingine ikoje. Hapa bado bati.
Kwahiyo brother jipange tu vizr
30 hapana ungesema 12 hapo sawa mkuu
Nyati cement mfuko tshs 15000 unatoa tofali 30.....mifuko 30 inatoa tofali 900 ambazo unajenga nyumba vyumba 3....gharama mifuko 30 ni 450000.