Gharama za ujenzi wa nyumba vyumba vitatu(3)

Joined
Nov 22, 2014
Posts
74
Reaction score
30
Habari wapendwa kaka zangu na dada zangu naomba niulize gharama za ujenzi wa nyumba vyumba vitatu uwanja upon Chalinze msoga maeneo ya hospital iwe na master room,2rooms sitting na dining just simple sio complicated pako flat.asanteni maximum niandae kiasi gani
 
Mkuu yangu tayari boma imenipiga milioni 15 pamoja na kuchimba choo.
1472889911713.jpg
 
Acha kuogopesha watu inaonekana hujawahi jenga......hiyo nyumba uatkuwa na bluetooth au mobile unaeza ukahama nayo mji?
Vyumba 3, Sebule, choo hujachimba, Bati ya migongo mipana ya alaf, grili, plasta, rangi, ...mkuu tafakari saaana
 
Habari wapendwa kaka zangu na dada zangu naomba niulize gharama za ujenzi wa nyumba vyumba vitatu uwanja upon Chalinze msoga maeneo ya hospital iwe na master room,2rooms sitting na dining just simple sio complicated pako flat.asanteni maximum niandae kiasi gani
M 30 itakupeleka mpaka kuhamia,it is like my house
 
Nina million 5 tu naweza maliza nikahamia ili sehemu nyingne nimalizie kidogokidogo jaman wenye nyumba wananinyanyasa sana
 
Inategemea ma material unayotaka kutumia ndani ya nyumba yako...namaanisha bati utakazotumia kuezekea na mbwembwe zingine za ndani

Kama ni nyumba tu ya kawaida bila finishing ya mbwembwe basi mpaka kuingia ndani kulala utakuwa umegharamikia makadirio ya million 18 kuanzia foundation mpaka gharama zote za nyumba na Fence
 
Vyumba 3, Sebule, choo hujachimba, Bati ya migongo mipana ya alaf, grili, plasta, rangi, ...mkuu tafakari saaana
Hakuna hao ni wezi wa serikali enzi hizo ndio wananunua hadi mlango mmoja millioni 1o wakati ni mlango wa mbao...wew nakuomba unipe million 20 nikujengee.....kama hutaona napata faida ya kilioni 10.....
 
Haya wewe bisha tuu, chukua kalamu na karatasi taratibu upige hesabu za room 3 hata kama ni za kawaida vp uje ufute comments zako
 
Kwa specifications za nyumba unayoitaka bajeti ya million tano utaishia kwenye boma tu. Andaa bajeti ya kama 15 m, vinginevyo jenga nyumba ya kawaida (siyo master)
 
Naona aliyesema 30milion yuko karibu na ukweli. Watu tisipende kujidanganya eti 5 milioni au 15.milioni hizi gharama hazitoshi. Labda boma tu.
Hata boma haitoshi mkuu hata kumi boma bado piga tofali tuu kwanza na cements, nondo, ufundi, mbao za madirisha n.k
 
Back
Top Bottom