properties
Member
- Jun 3, 2016
- 59
- 57
Wew kwa hesabu zako za kufikirika unafikir zinamaana hayo.....kafanyie kwenye madaftari tu nakudangany watu......lakin watu wasingejenga kwa akili yako.....Haya wewe bisha tuu, chukua kalamu na karatasi taratibu upige hesabu za room 3 hata kama ni za kawaida vp uje ufute comments zako