Bakulutu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 2,595
- 1,863
Mkuu mm nilikuwa mtata saaana kwenye haya mambo naona kama tunakatishana tamaa lakini ukweli wa mambo utamu wa ngoma ingia ucheze kuna vigarama vya kipuuzi kabisa mpaka unaweza dhani fundi anakupiga ukamtimua ukaleta mwingine ukakuta yaleyale..pia watu hawakumbuki ubora usijenge nyumba kama unaishi kwa muda alafu ubomoe, fundi anaweza kushauri kuna vifaa hivi vinauzwa laki 3 na kuna vya laki 5 anakupa na ubora wake, kwa sababu we umekaa tuu ilimradi nyumba ikamilike unang'ang'ania vya bei powa. Nyumba ni assets ni muhimu unakaenda taratibu na ikiwa angalau na ubora na sio bora nyumba.Mkuu Tshs 15m? Nyumba gani hiyo. Nyumba ya kawaida nzr nadhani ni kuanzia Tshs 30m hadi 50m ya "KAWAIDA".