Lee Swagger
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 1,070
- 1,816
Ndio mkuuMkuu hayo makontena ndo yanakuwa hivyo??
Hizi nyumba za namna hii Bongo zipo kweli??Ndio mkuu
Nilidhani itakuwa na gharama nafuu. Hizo ni gharama za kontena tu.Hapo naona container 6, kama kila container ni Tsh 8m jumla inakua 48m, kusafirisha container moja lak 7. Kwa hiyo hizo container mpka kufika site roughly ni kama 53m.
Sina hakika sana na hesabu na bei zangu, nimejaribu kutoa picha ya juu juu tu. Ila nahisi sijaenda mbali na ukweli.
Hayo mazingira mbona kama Bongo?Hizi nyumba za namna hii Bongo zipo kweli??
Iyoo gharama ya ma kontena si bora nijengee nyumba ya blockNilidhani itakuwa na gharama nafuu. Hizo ni gharama za kontena tu.
KwaniniIyoo gharama ya ma kontena si bora nijengee nyumba ya block
Insulation itatumikaJoto vipi.
Swissme
Zinakubalika Mkuuu nimeona piq nyingii tuuhizo nyumba za makontena bongo zinakubalika kweli. maana huku kuna utitiri wa sheria
Sina hakika sana.. nimeona hiyo picha nika mu uliza mtu akanitajia hizo namba. Nimezitaja ili nione kama kuna mtu atakuja na namba tofauti, ili tupate kujua zaidiNilidhani itakuwa na gharama nafuu. Hizo ni gharama za kontena tu.
Hata kama wangekuwa wanauza container milioni 3 moja, gharama yake nu bora upige tofali tu!Sina hakika sana.. nimeona hiyo picha nika mu uliza mtu akanitajia hizo namba. Nimezitaja ili nione kama kuna mtu atakuja na namba tofauti, ili tupate kujua zaidi
Ila hilo ni ghorofa.. msingi wa ghorofa huwa una kula zaidi ukijumlisha na kiuno chake kuna changa mka kidogo, bado roofing.Hata kama wangekuwa wanauza container milioni 3 moja, gharama yake nu bora upige tofali tu!
tofali moja ni 1100
mfuko moja wa sement 13500
mfuko mmoja unaunganisha tofali 60
fundi ujenzi unamlipa 300 kujenga tofali moja
ujenzi ni simple